KENPAULITE
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,511
- 3,313
Wazee wa the best healthcare in East Africa wakuje waseme mbona wanashindwa na Rwanda kwa healthcare 








Mnatuogopa Sana, hahahaha![]()
Mnalima Na bado this the latest statistics From 2001 to 2020, Tanzania lost 2.70Mha of tree cover, equivalent to a 10% decrease in tree cover since 2000, and 910Mt of CO₂e emissions.Leading to deforestation if you continue at that rate you will soon too be below the accepted global mark. Kenya we below that mark but due to desserts at our north but the government already started the afforestation program thats why heri tudanganye Tanzania watuuzie poles than use ours. And Tanzania wanakubali heheWewe ndio jinga, hujui kwamba hiyo miti huku tunalima Kama tunavyolima mahindi, tomato na machungwa?, We make money from tree plantations the same way you make money from tea, sugarcane plantations, due you destroy environment when you harvest sugarcane for your sugar industries?![]()
Jamaa unaota mchanaKuwa upinzani sio ndio upinge kila kitu akili ndogo wewe,.. hivi kwa akili zako, kuna nchi imewekeza na inaendelea kuwekeza kwenye masuala ya SGR hapa EA kuliko tz 1500km of rail roads? Kwenye masuala ya Anga je.? Sisi tumeshanunua ndege 17 jirani anamiliki ndege tatu chakavu, Kwenye mabarabara na Madaraja je.? Kwenye huduma za afya je.? Hizi sector ndio kipaumbele chetu, Wachina wanasema wao wanasema "ukitaka maendeleo tengeneza barabara kwanza" je kuna mkoa hapa tz kwasasa ambao haufikk kwa lami.? Ni taifa gani hapa EA ambalo serikali yake imewekeza kwenye nyanja zote hizo nilizotaja kwa weledi na ubunifu zaidi.? Hao wakina kenya si wanaingia mikataba ya hovyo kila siku.? Je nani Kati yetu yupo na kesho bora.? .. wewe jamaa uache kuwaza na matako...


Watoe work permits wakenya wanunue Tanzania
Bado mnaogopa tutachukua all your jobs hapo tz, ebu tutoleeni work permits muone kama vile tumewatolea huku kenya
Hahahaha, jaribuni muone moto utakavyowachoma, mumesahau hii?
Kwa nini ni Tzn tuu? Huko kwa wajuaji wa kizungu kuna ma nzi tuu.👇
View attachment 2046995
View attachment 2046996
Hata SGR hawajatushinda. Tumejenga ndefu kuwashinda, stations kali kuwashinda na inafunction. Hatuwezi sema yao ni bora na hatujaiona ikifanya. Vipi ikija kuwa big fail? For now the only infrastructure Tanzania wametuzidi ni BRT (ambayo iko Dar pekee) na bus stages. Zingine zote tumewazidi.Barabara hamtuwezi Wacha kujidanganya msee and health sector pia Wachana nayo we ongelea sgr Na brt pekee and investment of a country does not only rely on two infrastructures what about technology? What about innovation? Ict? Social development? Citizens wellbeing? Equality? Education. All your money mnarusha to few countable projects forgetting a country is more than just an sgr that will serve only a few of the citizens
Sikuona ikijadiliwa bungeni. Tells who's the boss.Kama ambavyo hao raia wa Kenya hapo Namanga tuliwafukuza wakalalamika, mkijaribu kuwagusa hao watanzania hapo Gikomba, lazima tuwapige, ninyi mnatuogopa Sana![]()
Rwanda wamezidi Africa yote katika "Health insurance coverage" sio katika Best and advanced heath services ambapo Tanzania tunashika namba 3 Africa nyuma ya South Africa na Egypt, Wanyarwanda wengi huenda Bugando Hospital - Mwanza kufuata tiba ya Cancer, pia madakari bingwa toka Muhimbili, Kitendo cha tiba za Moyo huenda Rwanda kuwasaidia/kuwafundisha kufanya operations za Moyo.Wazee wa the best healthcare in East Africa wakuje waseme mbona wanashindwa na Rwanda kwa healthcare![]()
Ebu tuwekee hio ranking yenye mnakuja no.3 hapa tuone?Rwanda wamezidi Africa yote katika "Health insurance coverage" sio katika Best and advanced heath services ambapo Tanzania tunashika namba 3 Africa nyuma ya South Africa na Egypt, Wanyarwanda wengi huenda Bugando Hospital - Mwanza kufuata tiba ya Cancer, pia madakari bingwa toka Muhimbili, Kitendo cha tiba za Moyo huenda Rwanda kuwasaidia/kuwafundisha kufanya operations za Moyo.
Ndio sababu nikakuambia hujui kitu unahitaji kujifunza, sababu kubwa ya deforestation ni kukata miti ya asili kwa shughili za kilimo, kuchimba madini na kwa ajili ya mkaa/Kuni, ukataji huo kawaida hauendani na kurudishia kupanda miti iliyokatwa.Mnalima Na bado this the latest statistics From 2001 to 2020, Tanzania lost 2.70Mha of tree cover, equivalent to a 10% decrease in tree cover since 2000, and 910Mt of CO₂e emissions.Leading to deforestation if you continue at that rate you will soon too be below the accepted global mark. Kenya we below that mark but due to desserts at our north but the government already started the afforestation program thats why heri tudanganye Tanzania watuuzie poles than use ours. And Tanzania wanakubali hehe
A very big fool huyo with very old data. Kenya Ethiopia transmission line is complete, Olkaria Lesos Kisumu is also complete na hata haziko kwa hio map, plus other projects by Ketraco. Wacha ajiliwaze na hizo proposed lines zao.😂😂😂Hivi hamuoni aibu kushare hii picha?
First, it's not dated
Secondly, it shows Kenya's existing lines while it shows Tanzania's existing plus planned.
I don't expect much from danganyikas though.
Hakuna mtanzania atakuja kufanya biashara Kenya, ila tembea nchi za SADC
Msikilize waziri anaeleza nchi zipi Watanzania wanawekeza
Niscreenshot this comment niweke tweeter then utajua wakenye on the ground don't give a shit Wachana Na hizi ujinga za mitandao watawafurusha without thinking about the reputationsJaribuni kuwagusa Kama alivyotaka kufanya Jaguar muone moto utakavyowawakia, sisi wakenya tunawafukuza wakati wowote tukipenda na hakuna kitu mnaweza kufanya.