Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

International flights resume in eldoret
FGvAnQFXIAUv5RT.jpeg
 
Lol.
Kojoa ulale. Property of Tanesco, Made in Kenya.

After replacing nearly all our wooden electric poles with concrete 10 years ago, we started exporting our excess supply across the region.

Hiki kiwanda kipo Kenya?

😂😂😂. Hawa jamaa bhana, wakiona tunawapiga nondo wanakimbilia kwenye eti wao ndio wanatufanyia mambo yetu 😂😂😂 wapo hovyo sana hawa
 
Local suppliers pekee, hakuna kuagiza nje vile ulikua unadanganya eti zinatoka bongo.
Tena.? 😂😂😂 Sindio wewe umedai kwamba hamtumii tena nguzo za umeme za miti na mko karibu kumaliza kufanya replacement kwa nguzo za zege.? 😂😂😂 Sasa imekua mnatumia lakini sio kutoka outside the country.?
 
Sindio, ni stock tunamaliza sasa. 🤣🤣🤣
 
Mm nimewawekea mpk CBD ina kuni za umeme, ss waweke wao cbd Dar ina kuni za umeme
😅😅😅 Hao jamaa hawakubali kushindwa, hawatakosa la kusema pia, nilichojifunza kuhusu hii thread mkenya kamwe hatokaa akubali kuzidiwa na Tz kwenye chochote kile hata kama kinaonekana wazi ..
 
Back
Top Bottom