Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unafaa kuuliza imetokea nchi gani, au hujui international inamaanisha nini.
Kuhusu kutokea nchi gani kwa chatered co shida, chatered inatua popote lkn huwezi kusikia France Air au Swiss air au British ikatua popote.
 
Kuhusu kutokea nchi gani kwa chatered co shida, chatered inatua popote lkn huwezi kusikia France Air au Swiss air au British ikatua popote.
Naona umekuja na ur kawaida ID kumbe Roho mbaya is your other ID, enyewe wewe ni hitler mswahili roho ya kichawi
 
Mbuzi alikua analazimisha Arusha itoshane na Kisumu kama vile wana force Dar to level na Nai., hawatakoma ila wananyooka wapende wasipende, kila kitu kiko wazi kwa google earth sasa ni domo domo kujitetea 😂 😂 😂 😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
DvhPqopXQAEAUHq.jpg
KGba8kuaXnlake.jpg
Screenshot_20211216-122537_1.jpg
this is the so called City of Kisumu and everything best in the city.. 😂😂😂 what else.?
 
Kuhusu kutokea nchi gani kwa chatered co shida, chatered inatua popote lkn huwezi kusikia France Air au Swiss air au British ikatua popote.
International in this context ni kuvuka boarder ya nchi moja hadi nyingine, hio ndege ilikua imetoka Switzerland direct flight to Kisumu International Airport. France Air au Swiss Air hizo ni commercial airlines while hii ni Chartered.
 
25 years behind
Wakenya hamna akili, kwahiyo unataka kusema tulikuwa hatutumii nguzo za zege, alafu hilo tangazo ni la enzi za Magufuli kwamba iliamriwa kuanza kutumika nguzo za zege kwa asilimia kubwa co kama zamani nguzo za zege zilitumiwa kwa asilimia ndogo kama huko kwenu, now mijini na maeneo yaliyochangamka wanaondoa nguzo za miti wanaweka za zege, nyie kwenu kuna nguzo za miti mpk CBD kama unabisha jikune uone.
 
Hahaha mtu wa kuokota mapicha ebu leta hizo nguzo za town tuone
 
Maumivu 😂 😂 😂 😂 😂 😂 ., hadi unatamani Kisumu iwe na estate moja 😂 😂 😂 😂 😂 pole, watu wa google earth mlaaniwe sana!, mnaanika ukweli mchana! 😂 😂 😂 😂 😂
Screenshot_20211216-122537_1.jpg

Can you show me the best estate in Kisumu beside this shit hole .?
 
Hawa wanalalamika kufukuzwa na kufungiwa biashara. Ukiwa mwanabiashara ufukuzwe bila ilani popote ulipo utaumia. Nataka video wakenya wakilalamika eti Tanzania imekataa kuwauzia mahindi maanake nyinyi husema mnatulisha tukiwaambia sisi ndio tunawafanyia favor kununua mahindi yenu hamsikii.
Onyesha video watanzania wakilalamika kufungwa kwa biashara na kufukuzwa Kenya, tukisema wakenya bila Tanzania uchumi wenu unasinyaa Huwa mnabisha, Kenyans need Tanzania than otherwise.
 
Back
Top Bottom