Wakunya bhn broken English nyiingiiii ukimwambia unamiliki nn anaanza kuunya unya, ooohh siwezi kuonesha maisha yangu humu mara ooohh sina akili za kitoto kumbe fukara, tangu lini mkenya awe na kitu alafu wewe usijue.
Wengi wao humu walipojaribu kuweka maisha yao humu ilikuwa ni vituko, mmoja alijifanya yeye ni mfanyakazi wa serikali tulipomuomba ushahidi akaweka apartment anayoishi, kuiangalia vzr kumbe ni pipeline apartment [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwengine kaweka ghorofa aki claim ni lake kumbe mlinzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwengine ndo akaua kabisa, kaweka mipesa kumbe kaitoa mtandaoni, alafu kingereza kwa mbali "I post my real life because you requested for it, next time if you want me to show you my private life I won't show you even my nails" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using
Jamii Forums mobile app