ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
kaacha mambo ambayo kenya ingewachukua miaka 30 😂😂😂😂Najua aliwaachia "electrified sgr station" pale Pugu. Ama kuna kingine?
kaacha mambo ambayo kenya ingewachukua miaka 30 😂😂😂😂Najua aliwaachia "electrified sgr station" pale Pugu. Ama kuna kingine?
iko wapi universal health care in kenya??🤣🤣Kama hakuna free Universal healthcare usijisumbue🤣🤣🤣
by who mama ngina as usual?😂😂Cooked data, tourists arrival don't lie🤣🤣🚮
Hatimae Mwenge wa Uhuru umewaka.
Naona paa la Shaolin temple!
Sijawahi kuona Ichoboy akiwa na wivu namna hii. Ichoboy punguza wivu.
Mradi huu unawafanya Watanzania wanakuwa na wivu sana. Poleni majirani tunajua inauma lakini itabidi mzoee.Naona paa la Shaolin temple!
Wapi Kilimani hapo😂Aki si Nairobi iko na CBD nyingi mapaka inachanganya wapokoone pic imemaliza kila kitu😂😂😂
Wale MCAs lazma wapite hapa!
Ndio haya magorofa yenu🤣🤣Magorofa tunayo mengi nimeshakuambia ungekua umefika DSM ungeelewa wakunya mnapenda sifa Kwa vitu havipo eti mliobuni🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nina mashaka na life span yake
Ndio haya magorofa yenu🤣🤣
View attachment 2036732
Ndio huyu Mkenya aliyebuni TPA. Tazama interview.😎