Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Forest road
FB_IMG_1638909634943.jpg
 
Hebu twende taratibu kwanza ili nijue uwezo wako kiakili, maskini ni yule anayeshinda ku afford basic needs c ndio?

Sent using Jamii Forums mobile app
A poor person is anybody who LACKS MONEY to enable him or her live a standard considered normal or comfortable in the society. Ndio maana poverty index is usually measured by those living above or below a certain amount of money each day. It can be a dollar a day or two dollars a day depending on several factors. That's the universal standards of measuring poverty. Si hiyo yako ya Saint Kayumba

Uko swali?
 
Si wewe ndo umesema 75% ya Nairobians hawatatumia hiyo Barabara coz ni watu wa slums? Ndio nakuuliza hivi, expressway inajengwa kwa ajili ya magari au wapita kwa miguu?
watumie kwa pesa gani ikiwa pesa ya kula hawana 🤣🤣🤣🤣hata hio ndoto ya kua na maisha bora hawana pia alaf unawaza expressway ya mchina

ila mchina nimemnyooshea mkono kajua kuwagaragaza 😀🙌🙌🙌
 
Yule Jamaa alikuwa na roho mbaya sana. Ingekuwa ni uwezo wake, angehamisha Kenya apeleke kwingine
wala hakua na roho mbaya ndio alikua anataka muache kuishi kwa mazoea sio munaleta mifugo yenu wanaharibu misitu ya tanzania alaf munakaa munakenua meno 🤣🤣 magu ndio alikua kiboko yenu miaka 5 mumeona kama miaka 50
 
Back
Top Bottom