Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

BECE3315-08C1-4926-9B5F-4823F739041B.jpeg
 
Inaitwa planning uchoyoboy. Expressway hazinanga unnecessary corners. Danganyika dar expressway haiwezekani mlibandika BRT katikati ya barabara. Poor planning.
mm nimesema picha moja imemaliza nairobi tayari 🤣🤣🤣 ww usharukia expressway ya mchina
 
Stop being desperate. Unasumbuka na Nairobi bure Kijana wa Tandale. Hii picha ya Dar kuna nini kilichobaki?
Screenshot_20211206-091317~2.png
 
Rais wa nchi sio shambaboy na wala kifo chake hakitangazwi kienyejienyeji hasa Rais anaefia madarakani na aliependwa kama Magufuli

Hawa ni watoto wadogo, hawajui jinsi inavyokuwa pindi kiongozi akifia madarakani. Hawajawahi ona kipindi Kabila Sr alivyofia madarakani mwaka 2001. Alipelekwa Zimbabwe wakati akiwa amekufa. Lkn ikabidi waseme yuko salama anaendelea na matibabu ili kufanya nchi iwe na utulivu.
Pia Levi Mwanawasa aliyefia Misri kwenye kikao cha AU. Naye walifanya hivyo hivyo.
So kiongozi akifa hawatangazi bila kujipanga.
 
Stop being desperate. Unasumbuka na Nairobi bure Kijana wa Tandale. Hii picha ya Dar kuna nini kilichobaki?
View attachment 2036589
project ni moja asbh mpaka usiku na mbaya zaidi project ni ya mchina na mbaya zaidi ndani ya nchi yenu mutampatia mkenya tozo zenu na kubwa kuliko yote ajira zitashikwa na wachina 😂😂😂😂😂
 
itatutesa au itawatesa nyinyi kulipia toll fee🤣🤣🤣🤣 yani mchina hamutamsahau mpaka kizazi cha mwisho
Sasa unatarajiaje nchi yenye middle-class population kubwa kama hii yetu watu washindwe kulipa visenti vya toll fee? Hiyo inaweza tu shinda watu kama nyie
 
watakaopita ni wale wenye uwezo sijui wale over 75% wanaoishi kwenye slums watapita wapi 🤣🤣🤣🤣 miaka 30 aloo sio mchezo

SGR imebakia white elephant na mombasa port anytime soon inakwenda 😆😆😆

sijui expressway mumeeka dhamana gani labda ikulu ya kenya 🤣🤣🤣
 
Hawa ni watoto wadogo, hawajui jinsi inavyokuwa pindi kiongozi akifia madarakani. Hawajawahi ona kipindi Kabila Sr alivyofia madarakani mwaka 2001. Alipelekwa Zimbabwe wakati akiwa amekufa. Lkn ikabidi waseme yuko salama anaendelea na matibabu ili kufanya nchi iwe na utulivu.
Pia Levi Mwanawasa aliyefia Misri kwenye kikao cha AU. Naye walifanya hivyo hivyo.
So kiongozi akifa hawatangazi bila kujipanga.
So you've just confirmed what we've been saying here all along. That Magufuli was secretly airlifted to Nairobi wakati nyinyi mkiaminishwa alikuwa bize anachapa kazi.
 
watakaopita ni wale wenye uwezo sijui wale over 75% wanaoishi kwenye slums watapita wapi 🤣🤣🤣🤣 miaka 30 aloo sio mchezo

SGR imebakia white elephant na mombasa port anytime soon inakwenda 😆😆😆

sijui expressway mumeeka dhamana gani labda ikulu ya kenya 🤣🤣🤣
Kwa hivyo Nairobi mtu anaishi slum na anamiliki gari. Sasa si ukubali tu basi kwamba slum dwellers wetu wako na unafuu kuwaliko. Wakati mtu anamiliki gari jamani na anaishi slum huoni ni maajabu?!
 
Back
Top Bottom