Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Eldoret.,
1638946066678.png

1638946111156.png

1638946124127.png

1638946135170.png

1638946146872.png

1638946207642.png

1638946180386.png
 
Wapi Kilimani hapo😂Aki si Nairobi iko na CBD nyingi mapaka inachanganya wapoko
kilimani ina kitu gani 😂😂😂
ikiwa robo tatu ya nanirobi imo ndani humo mpaka ukubwa wote wa misitu pia ndani
 
Leta facts hapa kilimanjaro ina attract mire visitors than maasai mara ,si umbea za ichoboy hapa, ichoboy dera si kanzu
so umenikasirikia 😂😂😂😂 mpaka unanitaja mm nakwambia huo mlima unaingiza watalii wengi kuliko masai mara nasio watalii mpaka mapato ni makubwa kuliko masai mara
 
Tanzania hakuna hela lazima atafute show Kenya., mifukara., cheap entry tickets, la sivyo ni muskize kwa radio tu 😂 😂 😂 😂 😂
tunakuja kuchukua pesa za masikini huku wasanii ni wengi na ratiba zimejaa🤣🤣 kwenu music industry ilishakufa na sisi ndio tumeshika waache vijana wachukue hela zenu waje kujenga majumba na viwanda tanzania
 
Baboon wewe na nyang'au wenzako
Mara mingi nikisema Tanzania hawajiwezi ila ni nature is taking care of them like Baboons kule porini, wananuna 😂 😂 , yaani kukula na ku kunywa sio kwa nguvu zao, la hasha! ni vya Mungu tu, nyani hawa 😂 😂 😂 😂 , kama vile nimekua nikisema Dar developed area ni sehemu moja na ndogo., yaani "city centre" ya maana ni moja tu(what we call CBD in Kenya)., Baba Levo na mzungu anaye jiita Sabbatical justified my argument on that, na ile ya nature taking care of poverty stricken bongolalas, huyu 👇 👇 dada kadhibitisha., nendeni muwanyonge hawa sio wazalendo kabisaaa 😂 😂 😂 😂 😂 , Sabbatical msimpe visa ya kuingia bongo tena, ni beberu., 😂 😂 😂
View attachment 2036027
View attachment 2036039
View attachment 2036048
 
Back
Top Bottom