Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii Expressway si tutatesa nayo midanganyika! Look at that first picture. Epic!
itatutesa au itawatesa nyinyi kulipia toll fee🤣🤣🤣🤣 yani mchina hamutamsahau mpaka kizazi cha mwisho
 
itatutesa au itawatesa nyinyi kulipia toll fee🤣🤣🤣🤣 yani mchina hamutamsahau mpaka kizazi cha mwisho
Wewe unafaa utafute pahali wanauza akili ukanunue, kwani ulitaka wajenge alafu tutumie bure?
 
Coco reborn 😂😂😂 hapa umefika mzee
C6802F16-D715-4E36-88DF-9F67BDC58BEB.jpeg
 
hakuna project kenya inayo zaidi ya hii project ya mchina ambayo mutalwenda kulia kama mbwa kwenywe toll za mchina na tunasubiri maumivu kuleeee twitter na pia tutakumbushana musijal
Kuanzia asubuhi mpaka usiku wanapost project moja wkt cc tumepost project zaidi ya 10, mara tumepost ufunguzi wa kiwanda kikubwa cha electrical appliances mara tumepost BRT, mara meli mara roads mara JNHPP mara Air Tanzania hadi raha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom