Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunaongelea magorofa ya uswazi. Sio akina Britam ama TPA ambayo yalibuniwa na Wakenya.
Magorofa tunayo mengi nimeshakuambia ungekua umefika DSM ungeelewa wakunya mnapenda sifa Kwa vitu havipo eti mliobuni🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Why would a government go public about something like that if indeed it's not true? What does it stand to gain by saying that publicly if there's no truth in it? Saa zingine mnaona watu ni wajinga sana!
Ndivyo dunia inavyokwenda, mashirika yote ya misaada huwa ni njia tuu ya kukaba shingo, nchi masikini, hakuna usamaria mwema duniani hapa.
 
Yatapiga sana misele siku ya Alhamis Mkuu, our 60th birthday,
Chaji simu yako

Sio 1200- 1700 mm

IMG_3113.jpg
 
Hizo ndio akili za watoto wa mombasa wazee wa "Maaa chapati inshindaaa" "Maaa matie pesa ya Maaamrii" .. waafrika wengi mno wanakimbilia kutafuta maisha SA .. au umesahau xenophobic violence in SA ...? Unajua ni watu kutoka mataifa gani ndio walipigwa na wengine kuuwawa.? Unajua ni kwanini walipigwa na baadhi yao kuuliwa na indigenous people of SA.?
Umekasirika, sauzi hapana maajabu yyte mzee
Kitaani hta sidhani km kuna mtu atakua na shobo nawe..
Yani mtu na akili zako unaenda sauzi kutafuta maisha jamani..
 
Huo mradi ulijengwa na financial institution ya Bongo, kwahyo hapo kinachofanyika ni kama kurudisha pesa ya uwekezaji ili iende tena kuwahudumia wananchi. Sisi ni tofauti na nyinyi wazee
Tanzania nchi ya asali mradi wa serekali unatozwa toll fee
 
Back
Top Bottom