Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_3065.jpg
 
Pugu ipo Dar. Emali is a small town in makueni county. How do you expect parking sizes za hizo vituo viwili ziwe same? Niulize parking ya Nairobi station nikuonyeshe au ya Mombasa.

Hili la mizigo sijui ni kwa nini unasisitiza. If you have proof that it wasn't meant for mizigo leta evidence. Otherwise this empty rhetoric talk just keep it to yourself.

Siku mkimaliza kujenga hizo stations zenu "kubwa" njoo kwenye meza ya mazungumzo. Kwa sasa tumewapiga ten nil kwa stations
Kuhusu suala la station kutokuwa na sehemu ya mizigo ni suala ambalo lipo wazi kabisa nimefanya research na nikagundua kwamba Emili station ni kwaajili ya abiria tu.. hivyo basi tukizungumzia facilities, Pugu Iko vizur ukilinganisha na Emali station, in the other hand tukizungumzia Uzuri Emili station wins.. There for kati ya hizi station mbili kila moja iko na ubora wa namna yake, case closed..

Tukiamia kwenye station kubwa, DSM station vs NAIROBI station .. DSM station inaipiga Nairobi station hands down.. kama unabisha twende ground
 
1638718330485.png
 
Ati Far es Salaam station ipige Nairobi wakati Nairobi ni mara Tano ya Dar kwa ukubwa. Heeehee
 
Northern Kenya is sparsely populated. That's the point I was trying to drive home.

Back to your picture, does it mean that hizo maeneo (north of that line you've drawn) hayana stima? So Garissa, Turkana, Isiolo, Mandera, Marsabit na Moyale counties hakuna stima? Is that your reasoning?

These are night images of different towns in northern Kenya where you believe there's no electricity simply because you looked at a certain map!
View attachment 2033717View attachment 2033720View attachment 2033721View attachment 2033722View attachment 2033723View attachment 2033725View attachment 2033726View attachment 2033727View attachment 2033728View attachment 2033729View attachment 2033730View attachment 2033731

So hizo si stima?
Atleast anaona vile Street lights zinakaa si hio dar ya giza
 
Hata kwa kuangalia tu pics za juu, hicho kituko chenu iliyopa Dar unawezalinganisha na Emali.

Look at these two aerial photos of the two stations (both complete).
View attachment 2033854View attachment 2033855
Do you need a third eye to see the glaring difference?
If you want to know how short Tanzanian trains will be, just look at the boarding shade and then compare na za Kenya. I doubt hata kama hizo trains zao zitabeba watu watu 15o per trip.

1638720429710.png

1638720534940.png
 
If you want to know how short Tanzanian trains will be, just look at the boarding shade and then compare na za Kenya. I doubt hata kama hizo trains zao zitabeba watu watu 15o per trip.

View attachment 2034030

View attachment 2034032
Sidhani kama Unaakili timamu wewe, sasa boarding shade vinahusiana nini na urefu wa treni.? Umeshaiita boarding shade, hiyo ni sehemu ya kupandia treni tu haina uhusiano wowote na treni kuwa ndefu au fupi..
 
Back
Top Bottom