Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuko mbali kwenye Tourism receipts, now tutakuwa tume double.
Screenshot_20211205-170040.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
If you want to know how short Tanzanian trains will be, just look at the boarding shade and then compare na za Kenya. I doubt hata kama hizo trains zao zitabeba watu watu 15o per trip.






View attachment 2034030

View attachment 2034032
Tubebe watu wengi kwa train kwani tunaenda safari za masaa mengi? Hapa ni mwendo wa electric tuu tuna release emu train according to demand. But if we want to carry more passengers for low fares we will use the double decker coaches pulled by an electric locomotive kila coach ni 150pax x 12 coaches per trip
 
Wewe ni dunderhead a simple report umeshindwa kutranslate na unatukanana huku, common sense aint common to you
Unajua nyie watu ni wajinga sana, Mathematics ndio Engineering yenyewe, alafu mnataka kuwa juu ya Tz ilihali mko hovyo kwenye engineering, majengo kila siku yanadondoka, reli ya SGR hakuna mkunya alibeba japo tofali, mkawaachia wachina mpk welding na bado mnataka kushindana na Tz
Screenshot_20211205-170101.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom