Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

If you want to know how short Tanzanian trains will be, just look at the boarding shade and then compare na za Kenya. I doubt hata kama hizo trains zao zitabeba watu watu 15o per trip.






View attachment 2034030

View attachment 2034032
Reasoning yako imenichekesha! So boarding shade should be the same length as the trains? Kwamba all trains will be same length? All stations should have shades of same length regardless of their size?!!
 
Zanzibar usiku [emoji7][emoji116]View attachment 2034037
Im talking about this here at southern bypass
download.jpg
 
Read to understand bongolala, not to react. Umeme wetu ni mdogo in comparison to demand. In reality, Kenya produces more energy than Tanganyika and Zanzibar combined


Kenya's current installed electricity capacity stands at 2,370 MW against a peak demand of 1,770 MW. This leaves us with a surplus of 600MW which isn't enough to run an electric rail

On the other hand, Tanzania's current installed capacity is 1,513 MW.

In short, demand yetu ya umeme inazidi kiwango kizima cha umeme mnayozalisha kama nchi. Yani stima yote mnayotengeneza hapo lazyland bado haitoshi mahitaji yetu ya kila siku kama nchi
Unatambua kuna line ya kv 400 inakuja namanga ipandishe kenya ?

Kenya itauziwa umeme na Tanzania

Sasahivi Tanzania inazalisha 1601 MW
Ikiamua ku triple ikazalisha 4803 Mw inawekezana ndani ya miezi michache

Tatizo umeme wa gesi ni gharama kuliko Chanzo cha maji Kwahio itatumia chanzo cha maji
Mwaka huu bwawa likianza kazi jumla ya uzalishaji utafikia 3700 Mw
 
Nenda umlilie mama Ngina usinililie mm tafadhali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2034083

Sent using Jamii Forums mobile app
At first you thought it was a person, now you want to pretend you know much about it?

Endelea kuangalia blog sources from Facebook pages and twitter accounts. Haya mambo sio paygrade yako. 🚮 🚮 🚮
 
Back
Top Bottom