Umesoma mpaka darasa la ngapi.? Ulielewa nilichokua namaanisha.? Hata iweje station iwe nzuri zaidi au lahasha but ubora wa comparison iwe fair, sio unapost station iliyoisha kujengwa halafu unafanya comparison na boma (jengo ambalo haijaisha kujengwa) ili hali boma lenyewe lilishaisha kujengwa na picha zipo..pugu station hii 👇
View attachment 2033815View attachment 2033816View attachment 2033822vs Emali SGR station
View attachment 2033833kwahiyo Emali station inashinda kuwa kituo kizuri cha SGR kuliko station ya pugu.. na hivi ndivyo comparison zinafaa kuwa, sio unapoat picha ya boma 👇
View attachment 2033839kulinganisha na kitu kilichokamilika, that's not fair.. mnaogopa nini.? .. eti bwana
Nicxie.? Na wewe mkaidi
Coco reborn eti.? nini mnaogopa.?