Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,300
- 33,626
Hamna safety yoyote hapo!
Hamna safety yoyote hapo!
Kama Ndege Zimekuja and they are kore costful ..treni hazitasumbua kuja..Issue kubwa ni wamalizie hilo daraja kipande kilichobaki..na kipande cha kuelekea portIt’s December and treni za umeme bado hazijaja?
View attachment 2029920
Serikali imesema uongo kuhusu ujio wa hizi treni kama Mara nne. What’s happening? What’s the actual ETA?
Tutaendelea kumkumbuka. Wahuni wameanza kuiteka kwa sasa.It’s December and treni za umeme bado hazijaja?
View attachment 2029920
Serikali imesema uongo kuhusu ujio wa hizi treni kama Mara nne. What’s happening? What’s the actual ETA?
Best city to work wakati unemployment rate ya Nairobi ni 50% na serikali haina pesa ya kulipa police mishahara wala haitatoa ajira kwa miaka 10 ijayo?If you don't know,now you know,we are the King👑of Africa
View attachment 2030015
View attachment 2030016
I didn’t say that we cannot afford buying electric locomotives. Even the airplanes that we procured touched the Tanzanian soil at their designated time of arrival. Hakukuwa na ubabaishaji. Au umewahi kusikia tarehe ya kupokewa ndege imehairishwa? Kwa nini treni zinaendelea kupigwa tarehe?Kama Ndege Zimekuja and they are kore costful ..treni hazitasumbua kuja..Issue kubwa ni wamalizie hilo daraja kipande kilichobaki..na kipande cha kuelekea port
then
Wa resume construction of Kinyreze 1 Extension 185 Mw
Wa proceed na kutafuta mkandarasi wa Kinyerezi 3 600mw na Kinyerezi 4 450mw...we cant be depending on hydro..wakati picha tushaanza kuliona..we need more electricity that is no water dependent..
Issue kubwa ilikuwa COVID lockdown ndio imesababisha delayI didn’t say that we cannot afford buying electric locomotives. Even the airplanes that we procured touched the Tanzanian soil at their designated time of arrival. Hakukuwa na ubabaishaji. Au umewahi kusikia tarehe ya kupokewa ndege imehairishwa? Kwa nini treni zinaendelea kupigwa tarehe?
Halafu they have an audacity ya kuja hapa na nye nye nye zao pathetic people.National Grid networks between Tanzania and Kenya
70% ya Kenya haina umeme
View attachment 2030052View attachment 2030053
sawa jinga type mwenzangu naona unaupiga mwingiJinga type as always
Wizi na ukabaji utaongezeka maradufu the city will not be safe anymoreBest city to work wakati unemployment rate ya Nairobi ni 50% na serikali haina pesa ya kulipa police mishahara wala haitatoa ajira kwa miaka 10 ijayo?
we jamaa haujafa tu,maana huna faida hapa dunianiA Kenyan maid working in Dubai earns a lot more than a Tanzanian doctor.
The joke's on you.
yaani ni vituko ona jinsi dunia ilivyokuwa ya ajabuRais leo kawapongeza wale wachezaji walemavu kufuzu kombe la dunia, Ilani ya CCM inasema itajenga uwanja Dodoma. lkn mpka sasa siwaelewi hawa viongozi, mpka leo hawaoni umuhimu wa kujenga viwanja kama vya Mkapa zaid ya viwili au vitatu?
hela ya Boeing moja kubwa inatosha kujenga hata viwanja vitatu, lkn siwaelewi kbsa hawa viongozi hasa Rais hawafikirii kujenga
View attachment 2029643
Best city kwenye nini, infrastructures, majengo, pori au slums? Hebu weka hiyo link inayosema nyie ni best.If you don't know,now you know,we are the Kingof Africa
View attachment 2030015
View attachment 2030016
wacameroon hadi walemavu wanabeba nondoHongera sana kwa vijana, wacameroon na watu wengi wa west Africa huwa wanamiili iliyojazia sana.
tumetishago tanzania
changamoto,hata reli yenyewe bado haijakaa sawa,ngoma bado kidogo tuendelee kusikilizia hawa wakina kadogosa hawapo sure kitaarifa kwenye hizi kazi zao,It’s December and treni za umeme bado hazijaja?
View attachment 2029920
Serikali imesema uongo kuhusu ujio wa hizi treni kama Mara nne. What’s happening? What’s the actual ETA?
National Grid networks between Tanzania and Kenya
70% ya Kenya haina umeme
View attachment 2030052View attachment 2030053





Why are you even wasting your time with that idiot? Don't you see he's plain desperate?hehehe😆😆😆. uwivu wenu twayajua.. eti sasa hii iwe The Nairobi Hospital.. yani nimecheka yangu yote😆... may be the first photo. lakini baki tu ukijua ni hapo ndipo JPM ulipumua pumzi yake ya mwisho
You mean these ones?