Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi kwenye masomo ya sayansi na hesabu. Ni watu wagani werevu kati ya Kenya na Tanzania? Hususan kwenye level ya research? Mimi ninajua jibu ila nataka tu kusikia maoni yenu..
Jibu lako ni Lipi?😃😃😃
Aafu maoni yafuatie.....
 
Don Bosco Catholic Church, Upperhill
images(83).jpg
images(84).jpg
images(86).jpg
 
Where did you read that Emali station Ni kwa ajili ya abiria tu? Ama mshaanza Kutoa maneno vichwani as you always do? Emali station, just like all other stations along that line has huge parking spaces as you can see below
View attachment 2033909
And thanks for confirming that you only have two big stations along the entire stretch. Sisi stations zetu zote ni kubwa
kubali kwanza ukweli kwamba Emali station haina sehem ya mizigo.? Alafu kwa hiyo parking unataka kulinganisha na parking ya Pugu station...? Yani hii👇
Screenshot_20211205-150348_1.jpg
kuhusu station kubwa tunaendelea kujenga zingine, usijasahaulishe SGR yetu ni kutokea DSM-Mwanza-Isaka 1500km .. kwasasa vituo viwili vingine vikubwa vya Dom na Mwanza vipo U/C .. SGR yenu nyie sindio imeishia hapo ..some kenyans wanaiita train to no where 😂😂
 
kubali kwanza ukweli kwamba Emali station haina sehem ya mizigo.? Alafu kwa hiyo parking unataka kulinganisha na parking ya Pugu station...? Yani hii👇View attachment 2033931kuhusu station kubwa tunaendelea kujenga zingine, usijasahaulishe SGR yetu ni kutokea DSM-Mwanza-Isaka 1500km .. kwasasa vituo viwili vingine vikubwa vya Dom na Mwanza vipo U/C .. SGR yenu nyie sindio imeishia hapo ..some kenyans wanaiita train to no where 😂😂
Pugu ipo Dar. Emali is a small town in makueni county. How do you expect parking sizes za hizo vituo viwili ziwe same? Niulize parking ya Nairobi station nikuonyeshe au ya Mombasa.

Hili la mizigo sijui ni kwa nini unasisitiza. If you have proof that it wasn't meant for mizigo leta evidence. Otherwise this empty rhetoric talk just keep it to yourself.

Siku mkimaliza kujenga hizo stations zenu "kubwa" njoo kwenye meza ya mazungumzo. Kwa sasa tumewapiga ten nil kwa stations
 
Back
Top Bottom