The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Lkn huwezi kung'oa reli eti ujenge upya ni uchizi.Aaalfu ardhi na uwezo tunao kama VP watu wakiwa wengi tunajenga au expand![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Lkn huwezi kung'oa reli eti ujenge upya ni uchizi.Aaalfu ardhi na uwezo tunao kama VP watu wakiwa wengi tunajenga au expand![]()
Si nyie huaga mnasema mnaijua dar ndani na nje Leo imekuaje ?🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Na hizo za Rwanda na Uganda umeona?
kwanza kabisa, pugu station ni kwaajili ya abiria na mizigo while mali station ni kwaajili ya abiria tu. pili pugu station Iko na parking kubwa ya kutosha unlike Emali station.. na kuhusu votuo vya SGR kwa njia ya Dar-Moro kuna vituo sita tu . vituo vikubwa viwili Tanzanite station na Morogoro station, na vituo vidogo vinne, Soga,Ngerengere, Pugu na Ruvu, ambapo kituo cha Pugu na Tanzanite station vipo ndani ya Dar es Salaam.. we shida yako ni kuona nini, niambie nikuonyeshe.?Facilities?? 😂 😂 😂
Hebu tupe picha za ndani ya hicho kibanda cha choo tuone hizo facilities.
And then did you say that this is just one of the smaller stations meaning there are bigger ones? Please share with us those bigger stations tucheke kidogo
By saying outskirts you mean it's located outside Dar boundaries ama?Outskirts of Dar....central station located in city centre.
Outskirts means outer parts of a town or city.By saying outskirts you mean it's located outside Dar boundaries ama?
🤣🤣🤣🤣🤣
Where did you read that Emali station Ni kwa ajili ya abiria tu? Ama mshaanza Kutoa maneno vichwani as you always do? Emali station, just like all other stations along that line has huge parking spaces as you can see belowkwanza kabisa, pugu station ni kwaajili ya abiria na mizigo while mali station ni kwaajili ya abiria tu. pili pugu station Iko na parking kubwa ya kutosha unlike Emali station.. na kuhusu votuo vya SGR kwa njia ya Dar-Moro kuna vituo sita tu . vituo vikubwa viwili Tanzanite station na Morogoro station, na vituo vidogo vinne, Soga,Ngerengere, Pugu na Ruvu, ambapo kituo cha Pugu na Tanzanite station vipo ndani ya Dar es Salaam.. we shida yako ni kuona nini, niambie nikuonyeshe.?
Hawajui kingereza wala kiswahili. Wanakariri kariri tu mambo.Outskirts means outer parts of a town or city.
But still within the boundariesOutskirts means outer parts of a town or city.
Unajua maana ya kata? (County) daresalaam ni kubwa Sehem nyingi zina jitegemea ndo brother akukuelezea ni outcasts of dar
YesBut still within the boundaries
Look who's talking! 😂 😂 😂. Mwenye ameshinda akitapikia kiingereza the whole day here
Are these places not found within Dar boundaries? Dar can even be the biggest in the world but doesn't it have city boundaries?Unajua maana ya kata? (County) daresalaam ni kubwa Sehem nyingi zina jitegemea ndo brother akukuelezea ni outcasts of dar
Kijana kwenye hili jambo la SGR inapasa uwe unakaa kimya tu, tumei outsmart Africa co tu Kenya, so vumilia utazoea.Where did you read that Emali station Ni kwa ajili ya abiria tu? Ama mshaanza Kutoa maneno vichwani as you always do? Emali station, just like all other stations along that line has huge parking spaces as you can see below
View attachment 2033909
And thanks for confirming that you only have two big stations along the entire stretch. Sisi stations zetu zote ni kubwa
That's what I wanted to hear. Pugu is in Dar. Case closed!
mume outsmart Africa na hizo stations mithili ya choo?Kijana kwenye hili jambo la SGR inapasa uwe unakaa kimya tu, tumei outsmart Africa co tu Kenya, so vumilia utazoea.
Huwezi linganisha Bugatti na Probox, ni makosa kufanya hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema tu jibu wala usiogopeHivi kwenye masomo ya sayansi na hesabu. Ni watu wagani werevu kati ya Kenya na Tanzania? Hususan kwenye level ya research? Mimi ninajua jibu ila nataka tu kusikia maoni yenu..