Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,140
- 17,880
So that's your source? 😂
So that's your source? 😂
Hilo swali uliza Kassim Majaliwa
Muulize Mama Ngina nani aliahidi hivyo, na hiyo picha aliiweka nani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]So that's your source? [emoji23]
Yeye ndiye alimleta huko Nairobi au sio [emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hilo swali uliza Kassim Majaliwa
Labda ni yeye coz he knew how much Magufuli alikuwa akichapa kazi wiki mbili bila kuonekana wala kusikikaYeye ndiye alimleta huko Nairobi au sio [emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji28][emoji28]$500mil, 200 companies[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba mtu hawezi kuchapa kazi leo alafu kesho akafa, Wakenya hamna akili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Labda ni yeye coz he knew how much Magufuli alikuwa akichapa kazi wiki mbili bila kuonekana wala kusikika
Huyo jamaa sidhani kama yupo sawasawa kichwani mwake,Kwamba mtu hawezi kuchapa kazi leo alafu kesho akafa, Wakenya hamna akili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Accounts zote za wanaharakati wa Tanzania ndio zilitoa fununu kuhusu afya ya Magufuli, msichojua ni kwamba waliondaa huo uvumi ni TISS wenyewe hiyo yote ikiwa ni mbinu ya kuwaandaa Watanzania kisaikolojia
Huwezi kuacha kuwaamini inner TISS informer umuamini Slum dweller wa kaliadudu blogspot
Umeme tu hamna itakua hospital ya kutibu watu mashuhuri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Angalia bikini yenu View attachment 2033168
Kwa usafiri upi ? Huu au[emoji2]View attachment 2033181
Hilo jamaa taahira sana 🤣🤣🤣🤣 eti kiongozi wa nchi asafiri na private company tena akiwa mahututi 😂😂😂😂na ukimuuliza pilot wa hio ndege atakuambia sisi hatukuona sura yake..lkn tulisikia perfume yake.. na mke wake aliesafir nae hatukuona sura yake maana alijifunika na kilema kuanzia utosini kichwan hadi shingoni
mtu ambaye hajui kesho atakula nini hawezi kuniambia kitu, pambaneni na njaa kwanzaThey are building the likes of Nyayo Estate that we built in the 90s. Hawa watu huwa wanasema eti tunawadharau. The truth is that we don't, ni ukweli tu ndio hawapendi kusikia. It's now that they are doing projects that we already did more than 20 years ago and the funny thing is that they are in celebration mode! Very funny to say the least
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Barabara kali hamna mabanda kuna markings and side walks [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Hii ni lami au masizi.
An equivalent of this in Tanzania is an untarmaced road. Hapo Dar ukishatoka main road hakuna Lami kabisa - hata kwa mitaa ya Kifahari kama Oyster Bay na Mbezi.🚮🚮Barabara kali hamna mabanda kuna markings and side walks [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Hii ni lami au masizi.
Mauti mnayajua leo sio nyie mbuzi mnae mock kifo cha JPM kila siku apaYani mtu anafurahia hadi mauti!
nasubiri ....ila mimi naona hapo ni no logicNahisi itakua pick up and drop off ya route tofaut ntauliza kwa brother mmoja ambae Yupo kwenye huo Mradi alafu nitakuambia mkuu