Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Heb Acha kujitia ujinga ambao haukonao .. ni aibu jitu Zima kama wewe kujitia hamnazo
Kwani nimesema uongo? Si mliaambiwa anachapa kazi? Rais wa nchi anachapa kazi wiki mbili zote bila kuonekana hadharani wala wananchi kusikia kutoka kwake! ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
songas wana gas processing plant, na gas inayoenda ubungo yote na baadhi kinyerezi inatoka songas.. pia ile plant ya pale ubungo(songas power plant ni mkataba wa maisha PPT... hauna mwisho.. hio plant serikali ina hisa hazizidi 45%).. kama sio huu mkataba hio plant ingefutwa na Magu kama zile IPTL nyingine

so wadau muelewe, pamoja na siasa nying.. Nyerere Hydropower plant ni muhimu sana kuliko hizo gas power plants.. kwenye hio JNHPP hakuna mkono wa mtu mwingine hapo.. ni serikali peke yake yupo.. imagine unauza umeme wote hapo peke yako.. jiulize faida gan kubwa serikali itapata

huwa naonaga mnabishana kuhusu hiv vitu.. na hamjui siasa zilizoko huko ndan
ni noma mkuu
 
Mzee kwani hapa tunamzungumzia Trump au Magufuli.? Vipi mbona unakuaja na Link ambazo zinatutoa nje mada.? Umechanganyikiwa.?
Hiyo link nilimpa yule kilaza wenu just to prove a point to him. Fuatilia thread uelewe kinachoendelea usiwe kilaza kama yeye nawe. We already have so many vilazas in the house
 
Intelligence c tumekubaliana ni ndege iliyobeba mwili wa Magufuli na ilipitia chini ya ardhi kiasi kwamba hakuna mtu angeweza kuona, au naongopa

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mpaka mbeya wa mbeya mange alishidwa kupata evidence kutoka kwa ma snitch wake japo hata picha ya msafara usio kuwa wa kawaida pale amref underground secret airstrip ambayo sijui IPO wapi walisema?
 
Kwani nimesema uongo? Si mliaambiwa anachapa kazi? Rais wa nchi anachapa kazi wiki mbili zote bila kuonekana hadharani wala wananchi kusikia kutoka kwake! ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Kwani kazi ya uraisi ni kazi inayofanywa kwenye mazingira gani.? Sio nyumbani kwake na ofisini.? .. kwahyo tukisema anachapa kazi ni lazima aonekane public.? Au kwa upande wako neno kuchapa kazi unalitafsiri vipi.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ..
 
Kwahiyo tumekubaliana kwamba Magu alipelekwa Nairobi kwa ndege inayoitwa intelligence na akafia kule zen mwili wake ulirudishwa huku kupitia AMREF terminal zen ukapita chini kwa chini pasipo watu kuona, jambo hilo limefanywa siri kubwa mpk kesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kazi ya uraisi ni kazi inayofanywa kwenye mazingira gani.? Sio nyumbani kwake na ofisini.? .. kwahyo tukisema anachapa kazi ni lazima aonekane public.? Au kwa upande wako neno kuchapa kazi unalitafsiri vipi.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ..
So unaamini Magu alikuwa akichapa kazi ndani ya hizo wiki mbili! ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ Then he mysteriously dies ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ What a life!
 
We jamaa unachanganyikiwa
Screenshot_20211205-001542_1.jpg

Hiyo link nilimpa yule kilaza wenu just to prove a point to him. Fuatilia thread uelewe kinachoendelea usiwe kilaza kama yeye nawe. We already have so many vilazas in the house
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Kuchanganyikiwa hivi hiv
 
So unaamini Magu alikuwa akichapa kazi ndani ya hizo wiki mbili! ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ Then he mysteriously dies ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ What a life!
Ukiskia neno kuchapa kazi kwa kiongozi wa ngazi za juu (raisi) wewe unalitafsirije .? Nataka nijue uelewa wako ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kwahiyo tumekubaliana kwamba Magu alipelekwa Nairobi kwa ndege inayoitwa intelligence na akafia kule zen mwili wake ulirudishwa huku kupitia AMREF terminal zen ukapita chini kwa chini pasipo watu kuona, jambo hilo limefanywa siri kubwa mpk kesho.

Sent using Jamii Forums mobile app

na ukimuuliza pilot wa hio ndege atakuambia sisi hatukuona sura yake..lkn tulisikia perfume yake.. na mke wake aliesafir nae hatukuona sura yake maana alijifunika na kilema kuanzia utosini kichwan hadi shingoni
 
Back
Top Bottom