Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Mambo kama haya yanasikitisha kweli kweli
Mambo kama haya yanasikitisha kweli kweli
Kosa naona itakua engineer kuto toa solution kamili ,let's hope itakua tofaut maana IPO under construction, tusubir final product.
Mkuu umesha cheza part yako ,ni dhahiri kuwa Tanzania haina mfano tuko vizuri , vingenevyo achana na hawa jamaa wako in denial hawamini Tanzania Iko level nyingine tofaut na ya kwao!Tena we maku wee usinitukane mpumbavu wewe, hapo kwenu kuna mradi wa kulinganisha na DOM gov City.? fala nini wewe.??
Mbona hapo vituo vimefuatana kunanini? hadi ikawekwa hivyo
Nahisi itakua pick up and drop off ya route tofaut ntauliza kwa brother mmoja ambae Yupo kwenye huo Mradi alafu nitakuambia mkuuMbona hapo vituo vimefuatana kunanini? hadi ikawekwa hivyo
Dah kweli bro.. 😔😔 nimekua mpole tayariMkuu umesha cheza part yako ,ni dhahiri kuwa Tanzania haina mfano tuko vizuri , vingenevyo achana na hawa jamaa wako in denial hawamini Tanzania Iko level nyingine tofaut na ya kwao!
Do you even know the meaning of a skyscraper?😂😂😂 Kwahiyo hapo kuna nini chaajabu.? We jamaa ni Chizi huwa .. unajisahau kama View attachment 2032438Arusha kuna mpaka skyscrapers, uje ulinganishe na huu upumbavu 😂😂😂😂, sasa nani Kati yetu anazungumzia uzalendo.. famba wewe.. heb linganisha huo uchafu wako .. we jamaa ni famba nini .?
Mkenya ana roho mgumu Katu hawezi kusifia bongo maana wanajua sisi ni threat kubwa kwao!Dah kweli bro.. 😔😔 nimekua mpole tayari
Nani anakumbuka hii story ya kuvunjika kwa daraja la kiegea linalounganisha Dom-Moro 👇. Hili hapa now limemalizwa kujengwa daraja la permanent 👇
Ni kweli bro ..Mkenya ana roho mgumu Katu hawezi kusifia bongo maana wanajua sisi ni threat kubwa kwao!
Tuna mambo mengi unique ambayo tuna lead sio Africa mashariki but Africa nzima!
Despite changa Moto nyingi tunazo kumbana nazo.
We should smile na tumshukuru mungu kwa ardhi yetu Safi na unique!
Kila hatua dua bro .. tunamwelekeo mzuri mnoKwa uwezo wa mungu naamini tutafika 👏👏👏kila safari ni hatua
Ni kweli hakuna lolote la maana Dom sisi tunaongepea watu tu, ISIOLO ni kubwa nzuri Safi na maendeleo ya kutosha kuliko Dom, Dom Iko na miaka 19 kufika ilipo ISIOLO... 🤝.. nafkiri nimekuridhishaWhat`s there in Dom to brag about? Dom is an overrated version of Isiolo.
Tupatie current aerial photo tuone basiWe endelea kujifurahisha tu, tumeshapost sana kuhusu hili eneo, current photos kibao nimepost mimi mwenyewe, wala hutaona ukijibiwa tena kuhusu hili
Ni heri yeye kuliko wewe unatumia afrikan travellers youtube account kujua NairobiJana nilikutaka tubishane kwa facts hayo maneno ya B level Ba mtaalamu fundi majumba, na ulikimbia, sikiliza vitu alivyotaja humo ndani halafu tusijadili kisomi, huyo Baba level ni Darasa la Saba B huyo hajui chochote kuhusu chochote, hana exposure, Safar yake ya kwanza kutoka tz ndio kafika hapo NAROW BEE .. tujadili kwa facts sasa ili tuje na majibu ya pamoja.. au tuweke humu Infrastructure zinazo hizo flyover alizozizungumzia tushindane na Madaraja na flyovers zilizopo DSM .. Alaf tuone he ni mji gani uko vizuri ili tumjibu baba level
Nilidhani contractor anajipanga kuenda site though coz they had cleared everything from the siteThis project has faced so many challenges since it was launched. I just hope it gets built