Niuchafu gani unapost apa kama evidence we mwehuuu wewe
Leo ndio unajua hilo? Wakat mki mock JPM kila leo hapa....toa ujinga apaAcha tu nikunyamazie. Mauti haina mipaka
If you give me facts and evidence from reliable sources there is no reason for me not to believe. However if there was such a thing definitely the Government of Kenya would have said something.Just the same way you disliked the information we gave you about the death of Magufuli.
Wapuzi km nyie mnajua kuibu nini...ikiw hata mbunge tu awezi letwaa hapoDo you know how 2 hours is longer for a dying person compared to 23min? Najua mtapinga lakini dunia mzima inajua Magufuli aliletwa Nairobi Hospital kutibiwa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kaliadudu Bloggers![]()
Alafu Rais mwenyewe wanayemzungumzia ni Magufuli ambaye alitokea kuwa Rais maarufu zaidi Afrika na aliyekuwa na maadui wengi duniani, Wakenya hawana akiliHilo jamaa taahira sanaeti kiongozi wa nchi asafiri na private company tena akiwa mahututi
Company yenyewe ka NGO ka misaada kanaitwa Amref
Yaani wa kunya mmemchukulia local sana Rais, katika ulinzi wa kiongozi mkubwa kama Rais hakuna jambo nyeti kama usafiri, hasa usafiri wa anga, hata akiwa maiti Rais wa nchi hawezi kusafirishwa na huo uchafu unaoitwa Amref
Ni uhuru kunyata tu ndio mwenye hizo guts





Kwamba 20 yrs ago mlijenga electrified SGRThey are building the likes of Nyayo Estate that we built in the 90s. Hawa watu huwa wanasema eti tunawadharau. The truth is that we don't, ni ukweli tu ndio hawapendi kusikia. It's now that they are doing projects that we already did more than 20 years ago and the funny thing is that they are in celebration mode! Very funny to say the least





































Lami zipo uswahilini kabisa na tumeweka picha nyingi sana humu ndani labda ujifanye chizi, Wakenya Magufuli was serious about this country's development.An equivalent of this in Tanzania is untarmaced road. Hapo Dar ukishatoka main road hakuna Lami kabisa - hata kwa mitaa ya Kifahari kama Oyster Bay na Mbezi.![]()






1. Show me your functioning electric sgrKwamba 20 yrs ago mlijenga electrified SGR
20 yrs ago mlijenga modern Airpots
20 yrs ago mlijenga modern bridges
20 yrs ago mlijenga modern bus terminals
20 yrs ago mlijenga BRT system
20 yrs ago mlijenga big ships
20 yrs ago mlijenga mji mpya wa kisasa
20 yrs ago mlijenga big hospitals with modern equipments
Wakenya vi apartments vya upande upande na vi flyover vya tofali viliwafanya mjione mko mbali sn kumbe ni vitu simple tu vinavyoweza kujengwa kwa mwaka mmoja na vikamalizika kujengwa, ss cc now tumefanya miradi ambayo itawachukua karne nyingi kuwa nayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
You nailed it with number 7. Where do people get guts to brag about something like this as modern? Kakamega looks better.🤣🤣1. Show me your functioning electric sgr
2. JKIA ranks above JNIA in everything. From passenger numbers to global rankings
3. Modern bridges? Where did you read that there are no bridges in Kenya?
4. Bus terminals is the only thing I can say you should have bragging rights
5. You built your first brt system less than seven years ago. We are currently building ours so what's the fuss about?
6. Ships tunajenga hadi tukawajengea nyie
7. Mji mpya? Are you talking about that dusty town called Dodoma that has been in existence before our fathers were born?
ProveIn March all the airports in Kenya were not operating except for special cases like za Magufuli. Aafu aliletwa usiku.
Sasa kama Masaki kwenyewe which is Dar's best neighborhood ndio kuna barabara za vumbi sasa uswahilini kwa walala hoi ndio lami ipatikane? 😂Lami zipo uswahilini kabisa na tumeweka picha nyingi sana humu ndani labda ujifanye chizi, Wakenya Magufuli was serious about this country's development.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi mzee wa intelligence plane, I can see now una adabu1. Show me your functioning electric sgr
2. JKIA ranks above JNIA in everything. From passenger numbers to global rankings
3. Modern bridges? Where did you read that there are no bridges in Kenya?
4. Bus terminals is the only thing I can say you should have bragging rights
5. You built your first brt system less than seven years ago. We are currently building ours so what's the fuss about?
6. Ships tunajenga hadi tukawajengea nyie
7. Mji mpya? Are you talking about that dusty town called Dodoma that has been in existence before our fathers were born?































You nailed it with number 7. Where do people get guts to brag about something like this as modern? Kakamega looks better.🤣🤣
Jpm angetibiwa kenya tungeona picha kama hii ya lisu kwa jinsi wakenya wanavyopenda sifa.