The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,849
Tumalizane na Magufuli kwanza mzee wa Intelligence, kwamba Magu alipelekwa Nairobi kupitia intelligence na mwili wake ulirudishwa kichawi kupitia hyo ndege ya intelligence kiasi kwamba hata wafanyakazi wa Airpot hawakuona kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watasema huyo si mtanzania
Sent using Jamii Forums mobile app