chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,311
- 45,111
Aafu bikini yao imechanika 😃
Hali halisi ya kunyaland transmission lines 😂😂😂😂😂
Aafu bikini yao imechanika 😃
Hali halisi ya kunyaland transmission lines 😂😂😂😂😂
Tuongelee kwanza Magu kuletwa Nairobi alafu nieleweshe kuhusu hyo ndege ya intelligence inabebaje mtu mashuhuri duniani kama Magu pasipo kufahamika.Man, death can come anytime any day. Kwani hijawahi ona au kusikia mtu kafa bila kuugua? Na si eti ilikuwa ni ajali?
Magu had a pre-existing condition and I believe you know that.
About those videos, didn't your own Prime Minister deny that Magu was sick, and that he was going about his duties as usual? If your own Prime Minister lied, why then would you want to believe any report coming from your government regarding Magu's health? How sure are you that whatever is being said in that second video is true if the first statement coming from your PM wasn't true?
Sijui Go Mahia watafikia level hii lini.
Simba ndani ya Lusaka Zambia
AMREF has its own terminal. All their operations are carried out VIP terminal in Wilson airport.Kwamba wafanyakazi wa Airpot wanafanya kazi zao kwenye barabara ya ndege au sio, Wakenya hamna akili
Sent using Jamii Forums mobile app
I can see the pain has really hit hard.Childish argument. Go tell your fellows dwelling in slums this Abunuas Story.
So hiyo intelligence ndiyo hizo gari ambapo zilimbeba kiongozi mashuhuri kwa siri kiasi cha kwamba hata watu hawakuona na ikabaki siri kubwa mpk leo, kwamba hata Airpot hakukuwa na mtu hata mmoja au sio, mnajiona uwezo wenu wa kujenga hoja ulivyo hafifu Wakenya?Now this is part of the intelligence I was talking about. Mmoja wao kaniuliza Kama aliletwa Nairobi an ndege inaitwa intelligence![]()
![]()
![]()








Sijui Go Mahia watafikia level hii lini.
Simba ndani ya Lusaka Zambia
Duuh aisee huu co umaskini bali ni ufukara wa kutisha.Kwa usafiri upi ? Huu auView attachment 2033181
Na wanavyopenda Sifa eti hata mlinzi alishindwa kutwanga FOTO🤣🤣🤣So hiyo intelligence ndiyo hizo gari ambapo zilimbeba kiongozi mashuhuri kwa siri kiasi cha kwamba hata watu hawakuona na ikabaki siri kubwa mpk leo, kwamba hata Airpot hakukuwa na mtu hata mmoja au sio, mnajiona uwezo wenu wa kujenga hoja ulivyo hafifu Wakenya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hapa Tanzania terminal yake iko wapi? Hebu nijuzeAMREF has its own terminal. All their operations are carried out VIP terminal in Wilson airport.







Umeona 😃
Umesoma lakini nilichoandoka au umekurupuka kujibu.? ulichoandika ndicho nilichomaanisha, Magufuli alikufa ghafla, na ndio maana naamini maneno ya Kassimu Majaliwa alivyosema kwamba Mwamba yupo busy na majukumu yake, kwasababu JPM hakuwa amelezwa mda wote wa wiki mbili.. kama ni hivyo basi nataka ueleze uongo wa prime minister ulikua wapi hapo.??Man, death can come anytime any day. Kwani hijawahi ona au kusikia mtu kafa bila kuugua? Na si eti ilikuwa ni ajali?
Magu had a pre-existing condition and I believe you know that.
About those videos, didn't your own Prime Minister deny that Magu was sick, and that he was going about his duties as usual? If your own Prime Minister lied, why then would you want to believe any report coming from your government regarding Magu's health? How sure are you that whatever is being said in that second video is true if the first statemet coming from your PM wasn't true?





Sirkal ndio wadhamini wa hilo safria? 🤣🤣Kwa usafiri upi ? Huu au😃View attachment 2033181
Kwani East Africa headquarters ya AMREF iko Tanzania ndio ikuwe na terminal uko?
Naona unaendanao na upumbavu wao hivyo hivyo 😂😂😂, unajua hawa kama tujadili nao face to face hawatuwezi hata robo hawa..
Ok safi sana, kwahiyo mwili wa Magufuli haukurudi Tz ulipelekwa AMREF alafu cc tukaletewa gogo tulizikeKwani East Africa headquarters ya AMREF iko Tanzania ndio ikuwe na terminal uko?






We ngoja mkuu anacheua mtu ss hiviNaona unaendanao na upumbavu wao hivyo hivyo, unajua hawa kama tujadili nao face to face hawatuwezi hata robo hawa..







Kwahyo baada ya hapo mwili wa magufuli uliletwaje mpaka kufika tz.?Kwani East Africa headquarters ya AMREF iko Tanzania ndio ikuwe na terminal uko?
Na lisu unafikiria aliambiwa na nani na ako belgium?Nyie ndio wa kwanza kusema Magu ni mgonjwa .? Au unataka kumdanganya nani na Ili iweje, alieleta porojo za Kuumwa kwa Magufuli na kuwa amelazwa NAROW BEE sindio baadae aliedai kuwa Magufuli alisafirishwa tena kuelekea India kimatibabu ? Bwana Lisu.? NDIO mtueleze sasa Magufuli alirudishwa lini kutoka India hata afie NAIROBI, na baada ya hapo alirudishwa tena lini kutoka uko NAIROBI ambako hakuonekana wakati akiingia wala kutoka, na tulimpokeaje then apelekwe mzena hospital..