Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hatushobokei Tanzania. Tunawapa tu taarifa ambazo vyombo Vyenu vya habari hawapi. Nitajie chombo Chenu cha habari hata moja iliyotoa hiyo taarifa aliyosema Lissu kuhusu afya ya Magufuli
Accounts zote za wanaharakati wa Tanzania ndio zilitoa fununu kuhusu afya ya Magufuli, msichojua ni kwamba waliondaa huo uvumi ni TISS wenyewe hiyo yote ikiwa ni mbinu ya kuwaandaa Watanzania kisaikolojia

Huwezi kuacha kuwaamini inner TISS informer umuamini Slum dweller wa kaliadudu blogspot
 
Cku ukileta ushahidi kwamba ina 11.2km nafunga account JF, costs are there to be minimized and not maximized, eti ilibadilishwa kutoka 8.9km to 11.2km

Na mbn fundi wa ku update google mnaye Mr nicxie c mumtumie huyo ku update?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe si tulikubaliana ni 6km? Hutaki kushinda, hutaki kushindwa. 🤣 🤣 🤣
 
Hivi hujui Kuna Air ambulance ambazo zinakwenda Kasi Sana?. Sasa Kama alikua katika hali mbaya Sana, huko Kenya angeletwa kufanya nini?, Hamna uwezo wowote wa kusaidia wagonjwa serious kutuzidi, we are much better in emergency medicine than you.
AMREF is saying HI to you. This was in March 2021.

1638647040445.png
 
Denial mode, same as tukiwaambia magu ako kubaya
😂😂😂 Nyie ndio wa kwanza kusema Magu ni mgonjwa .? Au unataka kumdanganya nani na Ili iweje, alieleta porojo za Kuumwa kwa Magufuli na kuwa amelazwa NAROW BEE sindio baadae aliedai kuwa Magufuli alisafirishwa tena kuelekea India kimatibabu ? Bwana Lisu.? NDIO mtueleze sasa Magufuli alirudishwa lini kutoka India hata afie NAIROBI, na baada ya hapo alirudishwa tena lini kutoka uko NAIROBI ambako hakuonekana wakati akiingia wala kutoka, na tulimpokeaje then apelekwe mzena hospital..
 
First ever "modified" JMP eulogy in public. The raw information was out three days before the official announcement.
And their own government even lied to them about the health and whereabouts of tueir president
 
Hahahaha, we have very fast jet which can take only two hours to Johannesburg, my friend, no way Magufuli could be taken to Kenya, he was Kenya's number one enemy.

One thing you must accept is that, Tanzania's Hospitals are better than Kenya's, that's why Benjamin Mkapa was treated and died within the country.
Even Moi was treated and died in Kenya. What's your point exactly?
 
Nyie ndio wa kwanza kusema Magu ni mgonjwa .? Au unataka kumdanganya nani na Ili iweje, alieleta porojo za Kuumwa kwa Magufuli na kuwa amelazwa NAROW BEE sindio baadae aliedai kuwa Magufuli alisafirishwa tena kuelekea India kimatibabu ? Bwana Lisu.? NDIO mtueleze sasa Magufuli alirudishwa lini kutoka India hata afie NAIROBI, na baada ya hapo alirudishwa tena lini kutoka uko NAIROBI ambako hakuonekana wakati akiingia wala kutoka, na tulimpokeaje then apelekwe mzena hospital..
Alipitishwa kisiri mana kuna Airpot ya chini kwa chini huwezi kuona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂 Nyie ndio wa kwanza kusema Magu ni mgonjwa .? Au unataka kumdanganya nani na Ili iweje, alieleta porojo za Kuumwa kwa Magufuli na kuwa amelazwa NAROW BEE sindio baadae aliedai kuwa Magufuli alisafirishwa tena kuelekea India kimatibabu ? Bwana Lisu.? NDIO mtueleze sasa Magufuli alirudishwa lini kutoka India hata afie NAIROBI, na baada ya hapo alirudishwa tena lini kutoka uko NAIROBI ambako hakuonekana wakati akiingia wala kutoka, na tulimpokeaje then apelekwe mzena hospital..
Sasa utaelewaje haya yote wakati the same government that was at the center of all these ilikuaminisha wewe na watanzania milioni sitini kwamba magufuli alikuwa akichapa kazi? There are certain things that are beyond your comprehension Kijana. Sickness and subsequent death of a sitting president is not handled kijuakali as you think. It is a well-guarded secret that only people in high places can get wind of. Ndio maana wewe hapo Tandale ulishtuka tu kuona taarifa za kifo chake ikitangazwa
 
Back
Top Bottom