Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama umeme ni mavazi, kunya imevaa bikini 👙😂😂😂😂

images (17).jpeg
images (15).jpeg
 
SGR ya danganyika haitawahi pata 100% safety rating sababu ishapata ajali kabla ya kuzinduliwa [emoji23][emoji382]
Screenshot_20211204-092222.jpg
 
Hawa watu wapuuzi sana wanachomaanisha ni ile Bima ya NHIF iliyoboreshwa

Kitu asichojua ni kwamba Tanzania tuna health insurance to 6 family members for only 30k whole year kwa any kind of health services countrywide

Wakilijua hili ndio watajiona walivyo hovyo kwenye health services compared to Tanzania

View attachment 2032271
Bone marrow transplant service imewaumiza sana wanajaribu kutafuta mfanano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe umemuona vizuri, jamaa analazimisha what ain't there, tukiweka facts utaskia vijisababu uchwara., huyu ni uzalendo tu inamsumbua., typical Tanzanian., Ajipe shughli tu.,
Hio moshono kwanza anasema anafaa kuleta hapa pics , theres nothin to it[emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23]Wewe una shida.hata google ingekusaidia Kupata distance.
Ukinipa ushahidi kwamba expressway elevated section ina japo 9km naondoka Jf, we hushangai NairobiWalker katulia anabaki ku like kwa mbali japo anajua ni uongo, wakunya bhn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom