Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Can't u click mahali wako kwa studio hapo juu, picha ya sita na ya saba..., Dar city centre ya maana ni moja tu.., kalikie kwa choo hilo najua tokea zamani., Pia mzungu alietembelea Dar, Kampala, Rwanda na the Nairobi, ambaye anajua mengi kamaliza mchezo.., unapenda kauli ya wazungu unataka pia dhibitisho?😂😂😂😂😂😂😂, Unapata tabu sana😂😂😂😂., Umia pole pole

mm nasubiria haya maelezo 😂😂👇👇 ukipata tu nitag leo hiii
79B46E17-885F-4EFD-9F05-4389B8FFD6F8.jpeg
 
Fungua hii link kisha click Instagram clip iliyo hapo.., nyambaff
hata mm nikitengeza blog nikasema dar is ahead of dar by 40 yrs ww utakubali🤣🤣🤣

shida yenu nyinyi munaiogopa sana dar yani dar inawanyima usingizi leo hii munatamani hii thread ifungwe hata sasa hvi 😂😂😂😂
 
www.tuko.co.ke😂😂😂😂🤣 yani baba levo ndio leo amekua official source ya www.tuko.co.ke
Click link then Kuna video ya Instagram., Kwani tuko iko na tatizo gani? Wao ni platform na sio source kilaza., so ukiona taarifa kwa platform yeyote, dhibitisha chanzo, yaani kimetoka wapi.., Facebook, twitter, BBC, CNN ni platforms tu ya kusambaza taarifa na mengine., ukweli wa taarifa unadhibitishwa kivingine wao sio source ama chanzo, wao ni kama messenger tu.., kilaza wewe, fungua link then click Instagram clip wacha uoga

hata mm nikitengeza blog nikasema dar is ahead of dar by 40 yrs ww utakubali🤣🤣🤣

shida yenu nyinyi munaiogopa sana dar yani dar inawanyima usingizi leo hii munatamani hii thread ifungwe hata sasa hvi 😂😂😂😂
ClIck on the story, na usisome kilicho andikwa, nenda moja kwa moja hadi kwa clip ya Instagram kisha funga account kilaza.., nangoja nione kama una kende😂😂😂😂😂
CLICK HAPA👇 DAMN IT!
 
ClIck on the story, na usisome kilicho andikwa, nenda moja kwa moja hadi kwa clip ya Instagram kisha funga account kilaza.., nangoja nione kama una kende
CLICK HAPA DAMN IT!
Huyu anakuanga zuzu wachana na yeye, anaogopa ukweli his life motto is deny, deny, deny
 
Click link then Kuna video ya Instagram., Kwani tuko iko na tatizo gani? Wao ni platform na sio source kilaza., so ukiona taarifa kwa platform yeyote, dhibitisha chanzo, yaani kimetoka wapi.., Facebook, twitter, BBC, CNN ni platforms tu ya kusambaza taarifa na mengine., ukweli wa taarifa unadhibitishwa kivingine wao sio source ama chanzo, wao ni kama messenger tu.., kilaza wewe, fungua link then click Instagram clip wacha uoga

manake sijaona media ya tanzania ikitangaza kwann nyinyi na labda mm nikuulize swali who is baba levo au anacheo gani katika hii nchi yeye maenyewe anakwambia ni chawa na sifa ya chawa ni kusema chochote kiwe cha ukweli au cha uwongo 🤣🤣🤣🤣

yani leo umenifurahisha sana 😆😆😆 nyinyi mutakua mbele ya dar kwenye slum mark my words
 
au kuna kitu utanidanganya juu ya kisumu 😂😂😂😂😂

ww na mzungu nani mwenye technology?
Mbona nikudanganye kuhusu Kisumu na wewe ni mwenyeji wa kaloleni slum in Kisumu. Anytime umevisit Kisumu you spent your entire time at Kaloleni slum.
 
Huyu anakuanga zuzu wachana na yeye, anaogopa ukweli his life motto is deny, deny, deny
mm niogope ukweli gani kwanza who is baba levo au hujawah kuskia anasema diamond ana pesa hata ya kushusha mbingu kidogo is that true???😂😂😂😂

yani shida yenu kubwa dar munaiogopa sana na hii thread imewafungua sana macho na munatamani leo kesho ifungwe
 
Click link then Kuna video ya Instagram., Kwani tuko iko na tatizo gani? Wao ni platform na sio source kilaza., so ukiona taarifa kwa platform yeyote, dhibitisha chanzo, yaani kimetoka wapi.., Facebook, twitter, BBC, CNN ni platforms tu ya kusambaza taarifa na mengine., ukweli wa taarifa unadhibitishwa kivingine wao sio source ama chanzo, wao ni kama messenger tu.., kilaza wewe, fungua link then click Instagram clip wacha uoga

hebu imagine www.tuko.co.ke ndio wametoa kwenye web yao kwann wao mbona sinaona wengine au media za tanzania hazipo?? kwann sio citizen tv au ntv ?? 🤣🤣🤣

why kiblog uchwara
niamini mm dar inawanyima usingizi na leo ndio nimeamini

yani leo umefanya nimefurahi sana thanks for that🤣🤣🤣🤣
 
mm niogope ukweli gani kwanza who is baba levo au hujawah kuskia anasema diamond ana pesa hata ya kushusha mbingu kidogo is that true???

yani shida yenu kubwa dar munaiogopa sana na hii thread imewafungua sana macho na munatamani leo kesho ifungwe
Hahaha najua huyo jamaa umemchukia sana, pole umepewa facts tu , usilie sana
 
mm niogope ukweli gani kwanza who is baba levo au hujawah kuskia anasema diamond ana pesa hata ya kushusha mbingu kidogo is that true???😂😂😂😂

yani shida yenu kubwa dar munaiogopa sana na hii thread imewafungua sana macho na munatamani leo kesho ifungwe
What influence do you have in lazyland mpaka umdharau baba levo, he's a public figure in your shithole. 🤣🤣🤣
 
manake sijaona media ya tanzania ikitangaza kwann nyinyi na labda mm nikuulize swali who is baba levo au anacheo gani katika hii nchi yeye maenyewe anakwambia ni chawa na sifa ya chawa ni kusema chochote kiwe cha ukweli au cha uwongo 🤣🤣🤣🤣

yani leo umenifurahisha sana 😆😆😆 nyinyi mutakua mbele ya dar kwenye slum mark my words
Huyoooo si ulikua unapingaa, Bora ungetulia kama malzy wenzako hii story ingeisha lakini ukajitia mwamba🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇
images (5).jpeg
 
mm niogope ukweli gani kwanza who is baba levo au hujawah kuskia anasema diamond ana pesa hata ya kushusha mbingu kidogo is that true???😂😂😂😂

yani shida yenu kubwa dar munaiogopa sana na hii thread imewafungua sana macho na munatamani leo kesho ifungwe
Tunawatoa ujinga hapa., wacha kukwepa click link then scroll down utaona hii clip.., inakaa hivi👇, play uskize kilaza
Screenshot_20211203-232032.jpg

Click link then video clip..,
 
Back
Top Bottom