joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Hili swali lazima limetoka kwenye kichwa chwa mwendawazimuEti wanaongoza, mnaongoza mkifuatiwa na akina nani The best 007 leo umeingia kwnye kumi na nanw zangu


Hili swali lazima limetoka kwenye kichwa chwa mwendawazimuEti wanaongoza, mnaongoza mkifuatiwa na akina nani The best 007 leo umeingia kwnye kumi na nanw zangu


Huyo ni mwehu kabisa huyo, ndiye anaongoza list ya Wakenya wendawazimu, wanapishana kwa tofauti ya 0.01 na Teargas.Hili swali lazima limetoka kwenye kichwa chwa mwendawazimu![]()





Huyo ni mwehu kabisa huyo, ndiye anaongoza list ya Wakenya wendawazimu, wanapishana kwa tofauti ya 0.01 na Teargas.![]()












Kisumu Sports ground
![]()


That`s not a road for vehicles young man. That`s the Children`s playground located inside Kisumu Sports ground.


Like I said, study English.
This is a play road you idiot.Hii barabara si hata ukikojolea mkojo unachimba?![]()
Hahahaha, slave mentalityLike I said, study English.
Ukijua kiingereza utaelewa na kuinterpret maandishi yaliyoandikwa kwa kiingereza na kuacha kuwa kilaza kama ulivyo.Mama Ngina ndio alikuambia ukijua kingereza unamaliza njaa na ma slums yaliyotapakaa Kenya nzima?
Understanding a language is not being a slave. Failing to understand a crucial language used officially in your country is being a slave. But would a bongolala know.🚮🚮Hahahaha, slave mentality
Yani yeye akiona neno leads, anaona kama linamaanisha ndio the most electrified. Hawa majamaa wako Na shida. 🚮Hyo jamaa grammar ndio inamtoa kabisa, yani anatia aibu sna
Nishasema hapa maji ya Ziwa Turkana ina chumvi. Inahitaji desalination plant kujengwa kwanza. Na kiwanda hicho ni expensive kujenga.Kwanini msitumia maji ya ziwa Victoria Kama sisi tulivyofanya?, Kumbuka Tanzania ni kubwa Sana kuliko Kenya, lakini tumeweza kusambaza maji toka Ziwa Victoria sawa na Umbali unaofika Mombasa na Turkana iweje ninyi mnashindwa?, au kwanini msitumie maji toka Ziwa Turkana?. Tatizo ni uwezo wa viongozi wenu ni mdogo Sana, Kenya itaendelea kudidimia zaidi.
Mtu aki lead si lazima kutakua na wengine wanafuata, sasa nataka list mimi km list zingineYani yeye akiona neno leads, anaona kama linamaanisha ndio the most electrified. Hawa majamaa wako Na shida.![]()
Akikupa nitag.Mtu aki lead si lazima kutakua na wengine wanafuata, sasa nataka list mimi km list zingine
Kamuulizeni waziri wenu wa nishati jamani, niacheni mieHili swali lazima limetoka kwenye kichwa chwa mwendawazimu![]()
Orodha iko wapi mzee wa leadingHuyo ni mwehu kabisa huyo, ndiye anaongoza list ya Wakenya wendawazimu, wanapishana kwa tofauti ya 0.01 na Teargas.![]()


Mamaee, jamaa kakalia kuti kavuNamba mbili c umtafute, yn unataka kitonga kwa gharama zangu we fala nn, weka ww list ya wanaoongoza Africa kama umeumia, lkn km huna baki na hiiView attachment 2027751


Yupo chato kaenda kumuuliza marehemu km vipi ndio arudiAkikupa nitag.


Mkenya na quality ni kama maji na mafuta🙂Hii barabara si hata ukikojolea mkojo unachimba?![]()
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwahiyo ni ya kupitisha toy cars?![]()