Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unabore sana unapunguza figure ili nn? Iyo umeitoa wapi?
Mbona hampendangi ukweli? Hakuna kitu nimepunguza hapo, it`s only that we can`t count completed projects among the incompleted ones and that`s why the Tanzanian figures are coming to 1,674km. Nikiendelea na kusubstract the "substantially completed" the figure will reduce to around 1,100km.
 
Kisumu

261783781_1338073163293209_7528780462946779558_n.jpg
Iyo barabara sijui ndio surface dressing ama changarawe hapo mmepigwa bro........
Angalia barabara inavyoatakiwa kuwa hii ni Arusha
JamiiForums1249711842.jpg
 
Na nakwambia foreigners wamevamia hii nchi kupita maelezo, pale kariakoo residential buildings zinazidi kuinuka, ni very profitable business kwa ss, na hao foreigners wapo kisheria na wamekuja ku trade na kufata health services, hili litafaamika soon.
Nyie hata kumpata blogger mmoja nchi ya ugenini hamna...
 
Mbona hampendangi ukweli? Hakuna kitu nimepunguza hapo, it`s only that we can`t count completed projects among the incompleted ones and that`s why the Tanzanian figures are coming to 1,674km. Nikiendelea na kusubstract the "substantially completed" the figure will reduce to around 1,100km.
Anyway nyie zenu zote hazijakamilika sio?
Maana Issue ni zijengwe ziishe zijengwe zingine...
Kuja barabara zinajengwa dodoma city ringroads 112km, magufuli city 51km sijaziona kwenye list hapo
 
Anyway nyie zenu zote hazijakamilika sio?
Maana Issue ni zijengwe ziishe zijengwe zingine...
Kuja barabara zinajengwa dodoma city ringroads 112km, magufuli city 51km sijaziona kwenye list hapo
Here the comparison was about roads under construction between Kenya and Tanzania. Na ukitaka completed roads pia tuafanya tu na I hope unajua Kenya is at 22,600km while Tz is 9,000km.
 
Hatari ni mchina akichukua bandari za kenya kwa sababu ya deni la sgr na mengineyo wanayo dai serikali ya kenya maana ni ukweli kuwa serikali ya kenya inakwenda kushindwa kulipa deni kama uganda mchina anataka kuchukua airport
Yani mchina kaingia Africa kama rafiki wa kusaidia Africa, kumbe nyuma ya pazia ni mbeberu kuliko mmarekani, tuwe macho na mikataba ya kina mangungo wa Msovero
 
Bado Tz iko mbali sana kufikia Kenya. From these screenshots, the ongoing road projects plus those that are substantially complete in Tz are1,674KM, that`s less than half of the ongoing road projects in Kenya which are more than 3,500km.
Hesabu yake ni hii, na hapo 3/4 hazijawekwa unaweza kuona namba nyingi hapo hazipo ila mradi unasoma on going, pia hiyo co hesabu ya nchi nzima, nadhani kama wata include nchi nzima itafika 7000km ambazo ni on going
Screenshot_20211129-204021.jpg
 
Hehehe tofauti ni kama usiku na mchana

Kenya -3,600km (Only selected roads are listed, most are left out cause they are less than 50KM)
Tanzania -1,674km.

2920424_Screenshot_50.png
So Kenya nzima as of Dec 2020 on going projects ni only 3600km wkt hapo cc on going za miji michache tu ni zaidi ya 7000km
 
Here the comparison was about roads under construction between Kenya and Tanzania. Na ukitaka completed roads pia tuafanya tu na I hope unajua Kenya is at 22,600km while Tz is 9,000km.
9000km tulishakua nazo miaka 7 iliopita we bado umestuck...napenda debate lakini sio za kuchoshana kama hizi
 
Back
Top Bottom