The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Eti km 22600 alafu kuna sehemu unakaa kwenye gari siku mbili mpk tatu, wkt huohuo Tz ambayo ni kubwa kuliko Kenya mara mbili na hakuna upuuzi huo.wacha aendelee kudanganya wajinga wanafkiri dunia ya leo utadanganya mtu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani wanatabia za kifala za kujisifia uongo hawa watu waone hvi hvi
Watz muwe makini sn mnapokuwa mnadebate na hawa jamaa, ni waongo na wapenda sifa za kijinga.