The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Nioneshe mahali nimeandika electrification.Electrification na connectivity ni vitu viwili tofauti jamani![]()
Nioneshe mahali nimeandika electrification.Electrification na connectivity ni vitu viwili tofauti jamani![]()
Uonyeshwe na wakati ripoti yako ndio inasema hvoNioneshe mahali nimeandika electrification.


Naona copy and paste ya kizungu, hili boga hiliThe best 007
hii ndio maana halisi ya electrified, sisi tulifanya kitambo sana
charged with electricity; having an electric current passing through.







Kwahiyo The best 007 ndio mlifanya kitamboThe best 007
hii ndio maana halisi ya electrified, sisi tulifanya kitambo sana
charged with electricity; having an electric current passing through.







Ndio manake nikaiwekea space mzeeNaona copy and paste ya kizungu, hili boga hili![]()


Iko wapiNdio manake nikaiwekea space mzee
Ningeandika mimi ungelalamikia source, alafu pia sina mda wa kum screen-sho-tia kilaza..
Copy paste twende mbele...
Enhee!!mbona unakwepa mzee, imeingia ama






Nakumbuka nipo shuleni wakati vigingi vya stima ndio vilikuwa vinaunganishwa kijijini, tanzania 2015


Pole sana mzee, soma limeshaingia utahira sitakiIko wapi![]()
Source Mama NginaNakumbuka nipo shuleni wakati vigingi vya stima ndio vilikuwa vinaunganishwa kijijini, tanzania 2015
Maskini






Nisome nn ss, hivi unaakili sawa sawa wewe?Pole sana mzee, soma limeshaingia utahira sitaki
Km ni kunengua sina hamu na viunl vya chato
Hehehe!!pole sana nawaambieni..Source Mama Ngina![]()
Mada hii hapa, tumezinduka sai na ndiyo tuna lead the contintentHehehe!!pole sana nawaambieni..
Mumezinduka sai malazy..
Alafu mbona nkm unakimbia mada..





Nimekupa ruhusa, nengua babaNisome nn ss, hivi unaakili sawa sawa wewe?



charged with electricity; having an electric current passing through.






Kwahiyo tunaongoza au siocharged with electricity; having an electric current passing through.
Maana yake hyo hapo![]()





Tuletee namba mbili na tatu wa hyo electrified africaKwahiyo tunaongoza au sio![]()


Na hapo ni June 2020 ..am sure more tha 1000km zimefanyika in 1 year and half22600-13000 unapata ngap?
Yeah nakubali barabara bado tuko nyuma...tunapambana kuboresha though
Namba mbili c umtafute, yn unataka kitonga kwa gharama zangu we fala nn, weka ww list ya wanaoongoza Africa kama umeumia, lkn km huna baki na hiiEti wanaongoza, mnaongoza mkifuatiwa na akina nani The best 007 leo umeingia kwnye kumi na nanw zangu



