Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The whole country has 2.7m household connected.
Funga mjadala ,fala.
according to who mama ngina??😂😂 umebadilisha topic tayar

ikiwa rural areas in tanzania mainland tumefika 86% connection je urban areas na kwa taarifa yako rural areas ndio kwenye watu wengi sana kuliko mijini 😂😂😂
 
So asiyejua kingereza ni kilaza, c mnaona aina ya waafrika tunao debate nao humu
kwao ukijua broken english basi ndio umesoma sana ndio maana waifeli sana kwenye mtihani wa kwenda kufanya kazi uingereza 🤣🤣🤣🤣

Nishasema hapa maji ya Ziwa Turkana ina chumvi. Inahitaji desalination plant kujengwa kwanza. Na kiwanda hicho ni expensive kujenga.
Halafu kwenye swala la ziwa Victoria, kujenga bomba la 1,000 km ya maji itagharimu pesa nyingi. Nyie bomba lenu ni kilomita ngapi na liligharimu pesa ngapi? Halafu ukigusa maji ya Victoria, Egypt huwa anabweka kama mbwa koko.
Mbona hawajatubwekea watz wakati tumevuta maji toka ziwa victoria
 
Understanding a language is not being a slave. Failing to understand a crucial language used officially in your country is being a slave. But would a bongolala know.
Not understanding well and use your national language is the most stupid thing a country and it's people can do, prioritizing your colonizer's language is slavery
 
Hapa ni ile case ya between 1kg of feather and 1 kg of metal which is heavier ndio unadeal nayo, this idiots will insist metal is heavier
rudi kwenye point umsaidie mwenzio kwanza 🤣🤣👇👇👇👇
F59E23C4-5B95-4213-95A0-E930B29BC5A3.jpeg
 
Nishasema hapa maji ya Ziwa Turkana ina chumvi. Inahitaji desalination plant kujengwa kwanza. Na kiwanda hicho ni expensive kujenga.
Halafu kwenye swala la ziwa Victoria, kujenga bomba la 1,000 km ya maji itagharimu pesa nyingi. Nyie bomba lenu ni kilomita ngapi na liligharimu pesa ngapi? Halafu ukigusa maji ya Victoria, Egypt huwa anabweka kama mbwa koko.
Desalinating Lake Turkana waters will be a climate and ecogological catastrophe. Desalination is not environmental friendly.
 
Nishasema hapa maji ya Ziwa Turkana ina chumvi. Inahitaji desalination plant kujengwa kwanza. Na kiwanda hicho ni expensive kujenga.
Halafu kwenye swala la ziwa Victoria, kujenga bomba la 1,000 km ya maji itagharimu pesa nyingi. Nyie bomba lenu ni kilomita ngapi na liligharimu pesa ngapi? Halafu ukigusa maji ya Victoria, Egypt huwa anabweka kama mbwa koko.
Hadi Sasa maji toka Ziwa Victoria yanalaribia Singida 500km kutoka lake Victoria. Kwa vyovyote iwavyo, kusafirisha maji toka lake Victoria is the cheapest means" kwa Kenya kwa sasa.
 
Not understanding well and use your national language is the most stupid thing a country and it's people can do, prioritizing your colonizer's language is slavery
It's the language of instruction in your schools. How do you fail to understand the language of instruction in your schools? And why are you prioritizing the language of your colonizers in schools?🚮🚮
 
Back
Top Bottom