The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,484
- 98,529
Wewe ni Slum dweller unabisha?Ni vizuri kujishuku atleast point has hit home
Wewe ni Slum dweller unabisha?Ni vizuri kujishuku atleast point has hit home
Mama Ngina ndio alikuambia ukijua kingereza unamaliza njaa na ma slums yaliyotapakaa Kenya nzima?Siku hizi huwa siwalaumu Sana. Mineralize shida yenu ni kiingereza. Read your screenshot well, keenly. Employ the dictionary where necessary and do some learning on grammar. You'll understand.
Mama Ngina na familia yake wame occupy 3/4 of arable land and they own 90% of Kenya wealth, wewe mzee wa mabati upo hapa unapiga miayo tu.Hawa watu wananeed vaccine ya ujinga, this stupidity here and lack of common sense is honestly worrying
Wamepaka chokaa kwa kutumia brush ya ukuta.Markings, very poorly constructed
Hawana akili.Wamepaka chokaa kwakutumia brush ya ukuta.![]()
Wababaishaji sana hawa jamaa.Hawana akili.
Uongo ninaosema mimi ni upi? Labda tuanze hapa. Kenya nimeshafika Nairobi na Mombasa. Mombasa nilienda wakati wa nyuma kidogo lakini Nairobi, quite recently. Siwezi sema kuwa mimi ni mwenyeji wa Kenya kama usemavyo wewe; ati umetembea mombasa “kindaki ndaki.” Utembeaji wako unatusaidia nini? Wewe tunafahamu vizuri kuwa Uko biased. Yaani huwezi kusimama kwenye uhalisia. Kitu unachokipa support hata kama hakistahili sifa wewe bado utakipa sifa na huu ni ujinga.huwez kuitaja kwa kutojua jambo lolote alaf tusikukosoe hata ingekua mji wowote ninaojua mm ukasema uongo tunakurekesbisha tu 😁😁😁 na siku zote usijifanye mjuaji san wakila jambo wakat huna ulijualo hzo ni nidhamu za kihayawani
mm mombasa hunidanganyi na mwanza hunidanganyi hii miji yote miwili mm nimefika nimetembea kindaki ndaki huna chakunielekeza trust me 😀😀😀
hvi ww kenya umetembea mji gani na mji gani hebu tuanzie hapa 😂😂
Ushasema mjuaji, kwanza nipo kibera saii, does that massage your stupidity?Wewe ni Slum dweller unabisha?
It is possible, serikali ikiamua kufanya basi itafanyika.Do you have any other options?if you priotize desalination plant and its supporting infrastructures nothing is impossible brathe,if tz is building JNHED in rufiji river worth $2.9b why ke shouldn't do the same project as long as it's worth your money?
Malizeni ma slums yaliyotapakaa Kenya nzima na njaa inayoua maelfu ya Wakenya then ndiyo mje hapa.Ushasema mjuaji, kwanza nipo kibera saii, does that massage your stupidity?
Kwanini msitumia maji ya ziwa Victoria Kama sisi tulivyofanya?, Kumbuka Tanzania ni kubwa Sana kuliko Kenya, lakini tumeweza kusambaza maji toka Ziwa Victoria sawa na Umbali unaofika Mombasa na Turkana iweje ninyi mnashindwa?, au kwanini msitumie maji toka Ziwa Turkana?. Tatizo ni uwezo wa viongozi wenu ni mdogo Sana, Kenya itaendelea kudidimia zaidi.Desalination plants are very expensive to build and they consume a lot of power. Not to mention the extra cost of building supporting infrastructure including water pipes built over large distances for water distribution. Desalination plants is a good idea but it is usually something that rich countries do. Nyie maji ya ziwa victoria tayari ni fresh kazi yenu ni kujenga pipes tu. Sisi inabidi tujenge kiwanda cha desalination kwanza hata kabla hatujaanza kujenga pipes. Huoni hio itakuwa expensive?
Kwamba Kenya kujenga kiwanda cha Desalination badala ya kuvuta maji toka Ziwa Victoria?, huo utakua ni uwendawazimu wa kiwango cha PhDIt is possible, serikali ikiamua kufanya basi itafanyika.




Yani huoni hata aibuMwanza CityView attachment 2027501
Electrification na connectivity ni vitu viwili tofauti jamaniHata ukilia, Tz ndio inaongoza Africa kwa electrical connectivity in rural areasView attachment 2027510


Unajua maana ya customers mzeepost then unasubiri nn 2.7m kila nyumba ina watu takariban 10 zingine mpaka 15 then calculate tuone
akili haikai kwenye makende mzee![]()




Viongozi wanafikiria pesa tu, wakisambaza maji kutoka ziwa Victoria au Turkana miradi yao ya maji c itakwama!Kwanini msitumia maji ya ziwa Victoria Kama sisi tulivyofanya?, Kumbuka Tanzania ni kubwa Sana kuliko Kenya, lakini tumeweza kusambaza maji toka Ziwa Victoria sawa na Umbali unaofika Mombasa na Turkana iweje ninyi mnashindwa?, au kwanini msitumie maji toka Ziwa Turkana?. Tatizo ni uwezo wa viongozi wenu ni mdogo Sana, Kenya itaendelea kudidimia zaidi.
Hyo jamaa grammar ndio inamtoa kabisa, yani anatia aibu snaSiku hizi huwa siwalaumu Sana. Mineralize shida yenu ni kiingereza. Read your screenshot well, keenly. Employ the dictionary where necessary and do some learning on grammar. You'll understand.
Kaingia kwenye masuala yake mhimu, walker kasema huna unalojua zaidi ya slum battles..masuala mhimu kwako mwikoMama Ngina ndio alikuambia ukijua kingereza unamaliza njaa na ma slums yaliyotapakaa Kenya nzima?

