Uongo ninaosema mimi ni upi? Labda tuanze hapa. Kenya nimeshafika Nairobi na Mombasa. Mombasa nilienda wakati wa nyuma kidogo lakini Nairobi, quite recently. Siwezi sema kuwa mimi ni mwenyeji wa Kenya kama usemavyo wewe; ati umetembea mombasa “kindaki ndaki.” Utembeaji wako unatusaidia nini? Wewe tunafahamu vizuri kuwa Uko biased. Yaani huwezi kusimama kwenye uhalisia. Kitu unachokipa support hata kama hakistahili sifa wewe bado utakipa sifa na huu ni ujinga.
Lengo langu mimi Sio kulinganisha Mwanza na Mombasa, bali ni kuifunua Mwanza ambayo watu kama wewe mnaificha. Uchafu uliopo uonekane wazi wazi ili usafishwe.