Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukiangalia vizuri hiyo place nimeahighlight ni 2019, za 2020 ndio hizi hapa chini. You can also check za 2019 from the table alafu ulinganishe na hile iko kwa article.

2922845_Screenshot_36.png
Lazima ikue Tanzanians are naturally dumb and stupid sababu ata kuelewa na kukumbuka ni shida kwa most ya Tanzanians apa jamii forums. Hii table ya KNBS imetumwa hapa mara mia moja na bado wadanganyika wanapinga tuu. Ama ni low IQ labda.
 
Mwaka jana ulikuwa unasema mna 15000km of paved roads, leo mna 22,600km babayao255 njoo na post zake huyu mbwa wa kuongeza 0s.
Ebu leta post moja nishaisema Kenya iko 15,000km. All of 2020 nimekuwa nikiimba kuwa Kenya iko na 21,000km of paved roads, 2021 imeincrease to 22,600km.
 
tanzania ndio kinara wakusambaza umeme vijijini ikiwa na 74% na mijini ikiwa na asilinia 95%
Nobody has disputed the village part. The main issue here is houses connected to electricity which are only 37%.
 
Back
Top Bottom