Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,389
- 5,792
Under construction bado haijaishaMarkings, very poorly constructed
Under construction bado haijaishaMarkings, very poorly constructed
Basi mko na ngapi kama sio 9,000km? I want you to give me the exact number and not guesswork.9000km tulishakua nazo miaka 7 iliopita we bado umestuck...napenda debate lakini sio za kuchoshana kama hizi
Wanajifunza racing auThat`s not a road for vehicles young man. That`s the Children`s playground located inside Kisumu Sports ground.








Nyingi tu co hizo pekee.Anyway nyie zenu zote hazijakamilika sio?
Maana Issue ni zijengwe ziishe zijengwe zingine...
Kuja barabara zinajengwa dodoma city ringroads 112km, magufuli city 51km sijaziona kwenye list hapo
Exact namba imeshawekwa humu mara nyingi sana hujawah tilia maanani...umekomaa na 9k ili ikusaidie nn?Basi mko na ngapi kama sio 9,000km? I want you to give me the exact number and not guesswork.
It`s more like a track for armature F1 track.Wanajifunza racing au![]()
Mnaijua sn Tz kuliko cc wenyewe, hizi ni dalili za superpower, huwa inaongelewa sn, mm mambo ya Kenya wala siyajui kabisa ila nyie mnawajua mpk watu wadogo wadogo kama Mbowe.Kama mbowe ni gaidi pia Samia ni gaidi. #freemboweView attachment 2027399
Ok, I have updated my database. So Kenya is still 10,000km ahead of Tanzania in terms of road tarmacking despite Kenya being half of Tanzania?Exact namba imeshawekwa humu mara nyingi sana hujawah tilia maanani...umekomaa na 9k ili ikusaidie nn?
View attachment 2027401






Do you have any in Tz?







You must be extremely stupid. This is about human rights.Mnaijua sn Tz kuliko cc wenyewe, hizi ni dalili za superpower, huwa inaongelewa sn, mm mambo ya Kenya wala siyajui kabisa ila nyie mnawajua mpk watu wadogo wadogo kama Mbowe.
Desalination plants are very expensive to build and they consume a lot of power. Not to mention the extra cost of building supporting infrastructure including water pipes built over large distances for water distribution. Desalination plants is a good idea but it is usually something that rich countries do. Nyie maji ya ziwa victoria tayari ni fresh kazi yenu ni kujenga pipes tu. Sisi inabidi tujenge kiwanda cha desalination kwanza hata kabla hatujaanza kujenga pipes. Huoni hio itakuwa expensive?Then it is high time for Kenyan Government to start ramping up efforts for construction of desalination plants if that is a feasible alternative to perennial catastrophes.
ww leta profit ya 2021 mm nifunge acc sasa hvi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nye nye nye loss juu ya white elephantHehehe!!mbona unateseka mzee
Ya 2020 hyo 3rd quater
Revenue generated from the standard gauge railway (SGR) rose 25 percent in the seven months to July, driven by increased imports. Latest data from the Kenya National Bureau of Statistics (KNBS) shows that revenues rose to Sh9. 08 billion from Sh7. 2 billion in similar period last year.21 Sept 2021
Pole sana![]()
huwez kuitaja kwa kutojua jambo lolote alaf tusikukosoe hata ingekua mji wowote ninaojua mm ukasema uongo tunakurekesbisha tu 😁😁😁 na siku zote usijifanye mjuaji san wakila jambo wakat huna ulijualo hzo ni nidhamu za kihayawaniNi vigumu Kwa mwenyeji wa Mwanza kama wewe kusikia watu wengine wakitaja kuwa mji wako hauko vizuri kwenye nyanja kadha wa kadha. Weka bias yako pembeni na tazama uozo uliopo Mwanza. And it’s not about petty competitions because Mwanza still loses to Mombasa in many fields. It’s about doing what’s right: criticizing the authorities responsible for urban planning in Tanzania. Kama unaona kuwa Mwanza imepangwa then inabidi utoke nje uone miji mingine. Mnakaa kwenye bubble yenu mkiamini kuwa you’re the best kumbe Hamna lolote!
au kwasababu hakujenga kenya ndio unatoa povu 😂😂😂 nyie munaosaidiwa chakula na nchi zenye jangwa ?? hata aibu hamuoniYani kila kitu Tanzania ni donation? I can`t believe that Tanzania is getting donations from Uganda
22600-13000 unapata ngap?Ok, I have updated my database. So Kenya is still 10,000km ahead of Tanzania in terms of road tarmacking despite Kenya being half of Tanzania?