chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,673
- 45,902
π π π Wameogopa hata kuniquote kabisa πππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakenya waishukuru sana jf, imewaondoa tongotongo nyingi sana kuhusu Tanzania, walikua na Tanzania ya ajabu sana kwenye mindsets zao walizoaminishwa na wazee wao for decades
Hawaamini wanavyoshuhudia kumbe Tanzania tumewapita almost kwenye kila nyanja na hawawezi kutufikia Leo wala kesho lakini tupo cool like we got nothing πππ