komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Mombasa beibeeUnataka kusema nini ss, kwamba Mombasa ipo juu ya Nairobi au? Mana ushuzi wa Mombasa kila mtu anaujua humu kwamba ni unplanned settlement, na ushuzi wa Nairobi kila mtu anaujua humu kwamba ni unplanned settlement plus slums, so kwa kigezo hicho kama unamaanisha bora Mombasa sawa![]()
Kaanza kuokoteza picha



Mombasa has huge CBD Men😍😍Mombasa beibeeView attachment 2026986
Hapo juu eti umeandikaje, kingereza cha buza hicho



Heheheh!!hapo mi wapi, unafikiria mombasa ni kariakoo kulikojaa maghorofa ya udongo miaka nenda miaka rudi
Hata wanenguaji wenzio wanakushangaa




Kuna mwingine hko anaumia kinyamaMombasa has huge CBD Men![]()
wanashangaa kuona ulivokua mwehu 😂😂 unakataa kitu halisi kabisaHata wanenguaji wenzio wanakushangaa![]()
Yani wana mili mikubwa mikubwa kama Big Show hivi. 🤣 🤣 🤣Hapo juu eti umeandikaje, kingereza cha buza hicho
"Size of slum dwellers" ndio nini mzee
Maskini mnenguaji, ugua pole..wanashangaa kuona ulivokua mwehuunakataa kitu halisi kabisa
Jamaa wanatia huruma ajabuYani wana mili mikubwa mikubwa kama Big Show hivi.![]()
![]()
![]()
Inatakiwa kwenye utalii tugonge japo $5bn per annum ndio nitaona tumeanza kuwa serious. Alafu hivi vitu huwa vinawauma sn hawa jamaa.Tanzania itaendelea kuongoza kwenye utalii, 31 international tourism companies at a go