Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maskini mnenguaji, ugua pole..
ukwekwekwe mukikamatwa kwenye ukweli tayar nishakua mnenguaji ??🤣🤣🤣
9461BD45-6250-4603-982A-599636F6A13F.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wakenya mpo wapi? Kama nawaona jinsi mnavyosakura backfire [emoji23][emoji23][emoji23] kwenye hili wala msijisumbue sababu hamna huo uchumi wa kusomesha first world's universities [emoji108]
Wacha bangi utajiaibisha asubuhi
 
Watanzania bata lisilokuepo Tanzania wanalifuata SA au Dubai, haitokaa itokee ukaona mtanzania anakuja Kenya for leisure, that's impossible

Kwa wanao visit Dubai na SA, Tanzania imeshikania na South Sudan. Hamna pesa.
More Kenyans visit SA than Tanzanians, despite you having Visa free access.

Dubai ata tusiongee. There are 10 Kenyans visiting Dubai for every one Tanzanian.
 
Hivi ninyi kwa maisha mnaweza kujilinganisha na Tanzania, kuanzia nyumba, bata, lifestyle and everything hamna ubavu wa kujilinganisha na Tanzania

Tanzania kwa Africa inaongoza kwa kuishi maisha ya starehe sana, pitia pages za social lifestyle za Tanzania kama hizi uone kama Kenya mna ubavu wa kuaaford haya maisha

99.99% of Kenyans can't even point Tanzania on the map.
Punguza bangi daddy..
 
99.99% of Kenyans can't even point Tanzania on the map.
Punguza bangi daddy..
Watanzania wengi ndio hawaijui Kenya mmoja wao ni mm apa ckuwa naijua kenya kabisa kabla ya kuingia humu. Hata nchi zingine mfano Zambia zinaijua tu Tz na co Kenya, huo ndio ukweli kama unachukia wewe chukia ila ukweli nimekwambia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mbona basi mnajazana mashuleni hku
 
Back
Top Bottom