Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

More than 60% ya wakazi wa Nairobi ni Slum dwellers, no wonder mmoja wao akitaka kuweka ukweli humu huwa wanaogopa kabisa
 
Kwnn more than 60% of Kenya population wasiwe Slum dwellers? Ona ma slums yalivyojaa kule Kenya alafu kuna mtu anasema eti kuyaondoa ma slums ni rahisi, utayaondoaje au unadhani hapa wanaishi wadudu
Screenshot_20211115-180624.jpg
 
Pia isisahaulike Tanzania ndio taifa linaloongoza ukanda huu kwa wananchi wake kusoma vyuo vikuu vya nchi kubwa za nje

Kuna fallacy ilijengeka kwa wakenya kwamba Watanzania (matajiri) their default choice linapokuja kwenye suala la better education kwa vijana wao basi ni Kenya, you were badly wrong 😅😅😅

Oneni education destinations za majority of Tanzanians sasa

 
Back
Top Bottom