Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Be informed that now Ksh is exchanged for 15Tzs instead of 22Tzs, and it goes on depreciating against Tzs. And note that Tzs is stronger and has high purchasing power than Ksh.
Can you confirm that Tanzanian shilling is exchanged at 15Tzs against the Tanzanian shilling?

secondly, what purchasing power are you talking about wakati ni juzi tu hapa mlishindwa kuleta bei ya Unga, sukari na bidhaa zingine muhimu to compare na bei za Kenya baada ya kugundua they cost more in Tanzania than Kenya?
 
Moja moja!
Tuonyeshe hizo za udongo kijana wa Tandale tuone
Screenshot_20211129-071128.jpg
Screenshot_20211129-071247.jpg
 
Ok hebu kubali kwamba Kenya inaongoza kwa Slums duniani.
Just because you say so sasa nikubali? Now this is what I was talking about - kulazimisha watu fikra zenu na kuwataka wakubaliane nazo. Where did you read that? Can you prove these claims?
 
Just because you say so sasa nikubali? Now this is what I was talking about - kulazimisha watu fikra zenu na kuwataka wakubaliane nazo. Where did you read that? Can you prove these claims?
60% of Nairobi population are Slum dwellers facts hazipingwi
Screenshot_20211129-072346.jpg
 
Tanzania ni potential tourism market ya South Africa, apart from radio jingles and TV commercials za SA destinations kwenye media za Tanzania zinazoplay miaka na miaka sasa naona wapo Twitter

Kuna wakenya walikua wanasema Watanzania hawana pesa za kusafiri just because hawatuoni tukija Kenya 😅😅😅hatimae sasa oneni tunakoendaga

Screenshot_20211129-072243.png
Screenshot_20211129-072220.png
 
Ukiangalia vizuri utapata kwamba chanzo cha nyinyi kugongana wenyewe kwa wenyewe ni kwa sababu hampendi kuona mtu akisema ukweli kuhusu nchi yenu, awe ni mtanzania mwenzenu au mkenya.

Hili sio tatizo sana kwetu kwa sababu mambo yetu huwa tunayaweka wazi wala hakuna cha kuficha kitu. Mtanzania ni mtu atakulazimisha mawazo yake yawe ya ukweli hata kama Hakuna chembe cha ukweli kwa analosema ilimradi tu aonekane amekushinda kwa hoja.

Ukijaribu kumkosoa hapo ndio mnakosana. Sisi wakenya hatuna hii tabia na si eti najisifu. Mapungufu yeti tunayakubali, something that most Tanzania don't do in this forum
aliyekuambia mambo ya Tz hayapo wazi ni nani?

kama hayapo wazi ,hebu linganisha kwa kipimo kidogo tu kati ya Tz na kenya kwa hii thread ni watu wa nchi ipi huwa wanazungumzia angalau kwa kudebate changamoto za nchi yao ?

maana kila kitu kipo wazi nyie mpo hapa kusifia tu nchi yenu mwanzo mwisho,na hiyo ndiyo hulka yenu wakenya,
 
Back
Top Bottom