dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
bongo flava za enzi tu
Achana na videos zinazoonyesha nyuma ya CBD tena kwa mbali kabisa, hizo picha umeweka humu zimepigwa kutokea ofisi za mabasi Nata.. chukua hii inayoonyesha sura ya NWANZA CBD, pita humu mzee Walker .. 👇. Inaonekana wewe kwa Mwanza ni mpita njia tu huijui hata.. Owky endelea kuiona Mwanza 👇. Pitia na humu 👇. Unajifurahiisha unavyozungumzia masuala ya siting plan halafu unaipigia mfano kenya unasahau kwamba hii 👇ni mobasaHuu Ndio mji unasema kuwa umepangiliwa? Na hii Ndio CBD 😂
We need more psychiatrists.
View attachment 2026679View attachment 2026680View attachment 2026681View attachment 2026682View attachment 2026683View attachment 2026684View attachment 2026685View attachment 2026686
Kaka naungana na Ichoboy kwamba ukiondoa milimani, kwa asilimia kubwa sehemu tambarare zimejengwa vizuri tu mbona.Hata kama ungekuwa unajua hadi chini ya ziwa Victoria kukoje, hutaweza kukataa the fact kuwa Mwanza haina mpangilio. Watu wanajenga kila mahali na sasa everything is just a mess. Siku nitaenda Mwanza nipige picha mwenyewe.
@Tony254Kimchezo mchezo hivi hivi utasikia jamaa wamepoteza bandari kama Uganda walivyopoteza Entebbe Airport....
Jamani somo moja kubwa maishani ni kuishi within your means...
The same way you export majambani and terrorists, it shows how many are thereNchi inaexport ombaomba ni Tanganyika. That should tell you how many they are there



Hukumbuki jinsi mlivyokua mkimshambulia Mkikuyu- Akili timamu kwa sababu ya kusema ukweli dhidi ya Kenya mkawa mnasema sio mkenya ni mtanzania?Ukiangalia vizuri utapata kwamba chanzo cha nyinyi kugongana wenyewe kwa wenyewe ni kwa sababu hampendi kuona mtu akisema ukweli kuhusu nchi yenu, awe ni mtanzania mwenzenu au mkenya.
Hili sio tatizo sana kwetu kwa sababu mambo yetu huwa tunayaweka wazi wala hakuna cha kuficha kitu. Mtanzania ni mtu atakulazimisha mawazo yake yawe ya ukweli hata kama Hakuna chembe cha ukweli kwa analosema ilimradi tu aonekane amekushinda kwa hoja.
Ukijaribu kumkosoa hapo ndio mnakosana. Sisi wakenya hatuna hii tabia na si eti najisifu. Mapungufu yeti tunayakubali, something that most Tanzania don't do in this forum
Hapo sio CBD halafu hizo picha ni za kitambo sana kwa hilo eneo.Huu Ndio mji unasema kuwa umepangiliwa? Na hii Ndio CBD
We need more psychiatrists.
View attachment 2026679View attachment 2026680View attachment 2026681View attachment 2026682View attachment 2026683View attachment 2026684View attachment 2026685View attachment 2026686
Ndiyo alivyokuambia Mama NginaMombasa ikisongeshwa kidogo tu iingie jamhuri ya muunganoinakua mji mkuu





Underpass ulaya kwenye nchi za temperate climate huku tropics majanga tuu. Hawa jamaa ni full kuiga tuu alimradi wafanane na ulaya lakini madhara yake ndio hayo sasa.Ndiyo maana tz hatutaki kuchimba chinina kujidai tunajenga underpass uchwara
Wakikosoana alafu mmoja akamtishia mwenzie kuweka wazi ushuzi wa nchi yao basi mwengine hukaa kimya na kuogopa kabisa tofauti na cc humuishu siyo kusema ukweli,ishu ni namna gani unauheshimu huo ukweli,
watz wa humu huwa hatuutaki unafki ndiyo maana mara nyingi huwa tunapishana wenyewe kwa wenyewe tofauti na nyie wakenya siku zote huwa mnaogopana na kuogopa kuchambua shida zenu kwa reality,
ndiyo maana mpo hapa kama mazombi hamkosoani wala kupeana ukweli zaidi huwa mnaishia kujazana kichwa








Kwamba haya maghorofa moja moja uliyoweka ndio yamemaliza maghorofa ya udongo pale Mombasa?Ghorofa za udongo Mombasa![]()
![]()
![]()
View attachment 2026615View attachment 2026616View attachment 2026617View attachment 2026623View attachment 2026625View attachment 2026626View attachment 2026627View attachment 2026629View attachment 2026651View attachment 2026653View attachment 2026654View attachment 2026656View attachment 2026657View attachment 2026658View attachment 2026659View attachment 2026660View attachment 2026661View attachment 2026662
View attachment 2026619







Ok hebu kubali kwamba Kenya inaongoza kwa Slums duniani.Ukiangalia vizuri utapata kwamba chanzo cha nyinyi kugongana wenyewe kwa wenyewe ni kwa sababu hampendi kuona mtu akisema ukweli kuhusu nchi yenu, awe ni mtanzania mwenzenu au mkenya.
Hili sio tatizo sana kwetu kwa sababu mambo yetu huwa tunayaweka wazi wala hakuna cha kuficha kitu. Mtanzania ni mtu atakulazimisha mawazo yake yawe ya ukweli hata kama Hakuna chembe cha ukweli kwa analosema ilimradi tu aonekane amekushinda kwa hoja.
Ukijaribu kumkosoa hapo ndio mnakosana. Sisi wakenya hatuna hii tabia na si eti najisifu. Mapungufu yeti tunayakubali, something that most Tanzania don't do in this forum
Kenyans gangs kidnap physically challenged people from border towns and subject them to begging on the streets this is how low Kenyans have reached with their neighbour's this is done not only with surrounding nations but also within Kenya.Nchi inaexport ombaomba ni Tanganyika. That should tell you how many they are there
Huyu ni mpumbavu sana, kwanza hajawahi kuisemea mbaya Kenya licha ya uozo uliopo alafu anataka kujifanya hayupo biased.Hukumbuki jinsi mlivyokua mkimshambulia Mkikuyu- Akili timamu kwa sababu ya kusema ukweli dhidi ya Kenya mkawa mnasema sio mkenya ni mtanzania?
Be informed that now Ksh is exchanged at 15Tzs instead of 22Tzs, and it goes on depreciating against Tzs. And note that Tzs is stronger and has high purchasing power than Ksh.View attachment 2026687tuna pigwa vita hapa. mara sio wagandree, mara sio wa rwandii, mara sio wacongolee, mara sio waethiopia, eritrea na somalia, mara sio sasa watanzanii.. hii hela yetu hii.. dollar..
Yule ni mwenzenu hadi kuna siku kakubali yeye mtanzaniaHukumbuki jinsi mlivyokua mkimshambulia Mkikuyu- Akili timamu kwa sababu ya kusema ukweli dhidi ya Kenya mkawa mnasema sio mkenya ni mtanzania?
Moja moja! 😂 😂 😂Kwamba haya maghorofa moja moja uliyoweka ndio yamemaliza maghorofa ya udongo pale Mombasa?![]()
Achana na videos zinazoonyesha nyuma ya CBD tena kwa mbali kabisa, hizo picha umeweka humu zimepigwa kutokea ofisi za mabasi Nata.. chukua hii inayoonyesha sura ya NWANZA CBD, pita humu mzee Walker .. 👇. Inaonekana wewe kwa Mwanza ni mpita njia tu huijui hata.. Owky endelea kuiona Mwanza 👇. Pitia na humu 👇. Unajifurahiisha unavyozungumzia masuala ya siting plan halafu unaipigia mfano kenya unasahau kwamba hii 👇ni mobasaView attachment 2026690kenyan's second largest city . Hii tofauti na Mwanza kuwa ni mji uliopo kwenye mawe, kuna sitting plan hapa mombasa.? Naona unapiga piga kelele kuhusu makazi ya Mwanza.. kwakua uliitolea Kenya mfano ngoja na mimi nikutolee mfano haya ni makazi duni ya watu wa Mombasa 👇. Halafu njoo ujifunze kuhusu nyumba zilizopo juu ya milima za hali duni na za kitajiri 👇. Halafu nataka utoe maoni yako kati ya mombasa na Mwanza wapi wako na nafuu, na kama jibu ni Mwanza then usitupigie kelele na kututolea mifano ya kenya .. njooni wewe Nicxie pamoja na Tony254 mjifunze hapa ..
Hebu weka hiyo post aliyokubali yeye ni Mtz au ngoja nimuite Mkikuyu- Akili timamu.Yule ni mwenzenu hadi kuna siku kakubali yeye mtanzania