ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
hata sisi tumewchana nayo 😂😂😂kuji console nayo!.. mombasa wachana nayo kabisa.. sio ligi yenu
hata sisi tumewchana nayo 😂😂😂kuji console nayo!.. mombasa wachana nayo kabisa.. sio ligi yenu
not slum 😂😂😂
Mikunya inaenda kufundishwa biashara ni nini.



Watakoma mana Watz wamevamia KenyaMikunya inaenda kufundishwa biashara ni nini.![]()







Kuanzia leo ni marufuku wakenya kusema wanafunzi wa Tanzania wanategemea vyuo vyenu kupata elimu bora, kuanzia leo ni marufuku wakenya kusema mna wanafunzi wengi abroad kuliko Tanzania
Tanzania inaongoza Africa kwa kuwa na wanafunzi wengi kwenye international universities worldwide
Therefore ni marufuku Kenya kujilinganisha na Tanzania kiuchumi and social standards of life







Naona leo umeamka na vitasa.
Sasa milima unaondoaje? 😂😂😂😂Kaka naungana na Ichoboy kwamba ukiondoa milimani, kwa asilimia kubwa sehemu tambarare zimejengwa vizuri tu mbona.