Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,071
- 17,789
They are here illegally bongolala. Ila bado tunawapokea na kuwasaidia😂😂😂 Unajielewa wewe.? yani mtu ni omba omba hiyo nauli atatoa wapi.? Residential permit atapata wapi.? Pesa ya kutengeneza passport atapata wapi.? Mbona una uwezo mdogo sana wa kufikiri .?