Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

View attachment 2023599
Hii si Ndio Tanga unayozungumzia? Hii Sio urban planning ninayozungumzia mimi. Urban planning Sio mpangilio wa makazi katika grids! Makazi haya Kwa kuyaangalia tu unaona ni duni! Hapa hata sewarage system sidhani kama ipo! Barabara zenyewe vumbi Tupu!

Inabidi tuwe honest. Kuficha uchafu uliipo ni Sawa na kuufanyia promotion undelee kuwepo. Tena nafurahi wakenya wanavyotubeza ili aibu tupate.
Tatizo la unplanned linajulikana but some towns have tried and Tanga tops in Tz in good planning compared to all those mention
 
Ni siku kubwa kwa mtanzania akija kenya. Nkama mkenya akienda marekani.
Kuna mtanzania mwenye time na Kenya kweli?

Wakenya wanauana ili waje Tanzania kuenjoy maisha, hutoona mtanzania anaenda for leisure Kenya incase there's any!

Screenshot_20211121-170708.png
Screenshot_20211118-180453.png
Screenshot_20211118-180352.png
Screenshot_20211118-180332.png
 
hakuna fursa huko.. hio hela uliyotaja unaijua ukubwa wake? au ni kwa miaka 100?
Kwani Azam Bongo ameweka Dollar ngapi juzijuzi hapa? Besides hiyo hela itachangamsha soka la Kenya sana tuu.
 
South Africa wenyewe wamechoka vibaya mno.

Wana kazi kubwa ya kuijenga reli yao baada ya kipindi cha lockdown, Mateja na wajinga wengine, kuharibu vibaya mno miundombinu ya reli na mfumo wa umeme wa relini kwa kuiba nyaya na mataruma kama chuma chakavu.

Uhuru Kenyatta ni mpumbavu!
SA kuna train wamezishindwa huko maana miundo mbinu yao ni ya kizamani kwenye rail hivyo private investor kachukua vichwa vyote PRASA walivyoagiza spain kavileta kwenye TAZARA.
 
Back
Top Bottom