Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Sasa mwenzako Walker255 akisema ukweli mnasema kwamba anawapendelea Wakenya. Geza Ulole akiongea ukweli kuhusu Magufuli mnamkashifu. Watanzania wacheni ukondoo huu mnaoufanya huku. Tabia za kikondoo hizi za kufuatana hovyo na kukashifu mtu aliye na mawazo kinzani. Mimi huwa sina haja ya kusikilizana na Wakenya wengine wala Watanzania. Mawazo yangu ni mawazo yangu na siwezi kuyabadilisha ili kufurahisha umati. Ukitaka kubadilisha mawazo yangu basi nipe evidence na facts. Bila kunipa verifiable proof usitegemee kwamba nitabadilisha mawazo yangu ili kufurahisha umati ulioko huku. Geza Ulole na Walker255 endeleeni kuwa watu wenye mawazo huru. Continue being independent thinkers. Msiogope mtu yeyote hapa afterall hamjuani, hawakujui huwajui.At least you are the one among Tanzanians who's eager and ready to please these Kenyans!!!!you can tell even from their response!!!Hatuko hapa kwa ajili ya kujiabisha!!!Tuko hapa kwa ajili ya kufungua macho na akili za Wakunya thinking that they are way far better from other countries in East Africa!!! While it's not true!!! That's why we sell the good side of us and also the got equal chances to do the same!!! Lesson learnt!!!Kile kiburi chao na ego,dharau za kishamba juu ya Tanzania soon kitakwisha kbs!!! Tanzania na Kenya bado tunasafari ndefu!!!Huwa nawashangaa watu wanaomkubali Lukuvi!!! Wengine wanaona anafaa hata kuwa Rais aisee!!! Sijui utawashauri nini kipya hawa wahusika the have everything in papers beyond your thoughts Mr 255!!!!!! Trust me!!!Ni utekelezaji tu!!!Ni kama ilivyokuwa master plan ya Dodoma ikaenda kutekelezwa Nigeria huko!!!




Watanzania hawana pesa ya kusafiri mashambani krismasi watapandaje ndege? 