Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂😂😂 Unajiskia ulivyompumbavu, owky ndio kusema nyie kwenye masuala ya ulinzi wa nchi yenu mpo hovyo kiasi ambacho watu wanaingia kiholela, no wonder Alshabab wanawahenyesha uko kwenu 😂😂 😂
Sasa ombaomba atakuaje tishio kwa usalama? Cha pili ni mlemavu!
 
kwanini msiwasaidie wakenya wenzenu?

utaratibu wa boda ni lazima uwe na kibali maalum kinachokuruhusu kutoka nchi moja kwenda nchi jirani,tell me kwa upande wenu sheria imekaaje?

au inaacha kuwakagua waremavu smbao kwa mujibu wako unasema kuwa ni omba omba kutoka Tz
Fortunately, my hometown is near the border. I can't count the number of times I have crossed from Isibania in Kenya to Sirare on Tanzanian side without doing paperwork. People freely cross from one side to another on a daily basis, day and night.
 
Ukiitoa Egypt ni nchi gani Kati ya hizo ulizotaja zimefanikiwa kujenga mji mpya.? Kujenga mji mpya unafkiri ni matako.? Kwamba kila mtu anayo.? Unaishi wapi bro.? Ulaya eeh.?

Kujenga mji mpya ni mchakato, sio suala la kulala na kuamka. At least wenzetu are trying.

IMG_8296.jpg

IMG_8297.jpg

Nigeria Eko Atlantik City

IMG_8298.jpg

Angola Social Housing Project

Ghana wana Wakanda City of The Return, Kenya wana Konza na Tatu City, japo haziendi kww haraka lakini ukifika unaona kuna kitu kinaendelea. Sisi what do we have to show? Kigamboni imetushinda hata kabla hatujaanza, Maneno tu.
 
kwanini msiwasaidie wakenya wenzenu?

utaratibu wa boda ni lazima uwe na kibali maalum kinachokuruhusu kutoka nchi moja kwenda nchi jirani,tell me kwa upande wenu sheria imekaaje?

au inaacha kuwakagua waremavu smbao kwa mujibu wako unasema kuwa ni omba omba kutoka Tz
Jaluo akiona kitu ni cha aibu lazima atafute sehemu ya kusingizia au mtu wa kumsingizia.

Natamani wote mfahamu tabia za jaluo humu especially jaluo za kenya.
 
Kujenga mji mpya ni mchakato, sio suala la kulala na kuamka. At least wenzetu are trying.

View attachment 2024783
View attachment 2024784
Nigeria Eko Atlantik City

View attachment 2024785
Angola Social Housing Project

Ghana wana Wakanda City of The Return, Kenya wana Konza na Tatu City, japo haziendi kww haraka lakini ukifika unaona kuna kitu kinaendelea. Sisi what do we have to show? Kigamboni imetushinda hata kabla hatujaanza, Maneno tu.
Dodoma Government City
 
Kujenga mji mpya ni mchakato, sio suala la kulala na kuamka. At least wenzetu are trying.

View attachment 2024783
View attachment 2024784
Nigeria Eko Atlantik City

View attachment 2024785
Angola Social Housing Project

Ghana wana Wakanda City of The Return, Kenya wana Konza na Tatu City, japo haziendi kww haraka lakini ukifika unaona kuna kitu kinaendelea. Sisi what do we have to show? Kigamboni imetushinda hata kabla hatujaanza, Maneno tu.

Na wewe unaongea tuu kwaiyo magufuli city dodoma ni nini na kuhusu kigamboni ni mradi wa mda mrefu sio miaka mitano tuu mji ushasimama kwani jitihada za serikali huzioni kama kigamboni economic zone/ industrial zone ambayo ni part ya kigamboni city na miradi mingine kama dege eco village
 
Dodoma Government City

Ni sawa, Dodoma Government City ni mpango wa Capital City Development ambao ulikuwepo toka miaka ya 70. Same as Nigeria na Abuja au Egypt na Alexandria.

Lakini unajua kwanini watu hujenga new city along the big cities? Lengo ni ku-deconjest the old cities na kutunza history old cities badala ya kila siku kubomoa na kujenga upya. Dar es Salaam inategemewa kuwa mega city in 2030, idadi ya watu itaongezeka mara dufu hivyo kuongeza mahitaji ya makazi n.k. Bila kuwa na mji mpya na wa kisasa kwa mahitaji ya wakati Dar itaelemewa na kuwa mji kituko kabisa sababu kila siku tutakuwa tunavunja na kujenga huku tukitegemea mji ujijenge wenyewe. Hii sio sawa. Miji hujengwa na kupangwa. Najua kuna watu wengi wanasoma huu uzi, wito wangu ni kuipanga Dar, serikali itoe hiyo Master Plan wanayoikalia miaka nenda rudi, vunja, lipa, panga before its too late.
 

SCANIA INTRODUCES ITS GAS TRUCK IN TANZANIA​

The first Scania Gas Truck running on CNG (Compressed Natural Gas) in East Africa has been launched by Scania Tanzania Ltd. A milestone at the company and in the market towards Scania’s vision of driving the shift towards a sustainable transport system.


The launch which was graced by Hon. Selemani Jafo, Minister in the President's Office for Regional Administration and Local Government, amongst other Tanzanian government officials and Scania customers, was an opportunity for Scania to showcase its product offering in the region, of one of its transport solutions which runs on an alternative fuel which is good for the environment, the community, and for business.
Speaking during the launch, Johanna Lind, Scania Tanzania Ltd’s Managing Director reiterated Scania’s vision of being a sustainable transport solutions provider that offers its customers a wide range of vehicles which are less harmful to the environment. “We are able to offer our customers a wide range of transport solutions which run on alternative fuels, ranging from ethanol trucks and buses, to vehicles using liquefied or compressed biogas, which have less carbon emissions compared to vehicles running on fossil fuels. We have launched our CNG truck in Tanzania because of the locally available natural gas found here, and the beauty with this truck is that it can also run on biogas without changing any features on the truck,” Johanna highlights.


file.img.png
file.img.png
file.img.png

A Cleaner and More Cost Efficient Transport Solution
Natural gas which is available in most parts of the world compared to oil, means that the price of gas can be locally set, resulting in drastically lower costs in purchasing gas than in purchasing oil, reducing on the fuel costs which transporters and bus operators incur. “Today one of our largest imports is diesel, and having vehicles running on a locally available fuel will reduce the outgoing foreign exchange, aid in job creation and increase the revenue streams of the government. Tanzania has already established the infrastructure with the development of the Mtwara-Dar es Salaam gas pipeline and the six gas power plants in operation” Johanna adds on. Natural gas is a stepping stone which will help in the transition from fossil fuels to renewables.
Scania gas trucks have been engineered for efficiency and high performance and they have achieved a performance level where the torque of the vehicles builds up earlier than in a diesel engine, which was achieved with the development of new technology and the introduction of the Euro 6 engine generation. “The gas truck which we have launched comes equipped with a Euro 6 engine which is a high technology engine with lower emissions enabling us to offer a transport solution with the cleanest drivelines, hence creating cleaner air,” Johanna explains.
With a 50% noise reduction thanks to the methane properties and the lowered compression in the spark plug ignited engine, Scania gas trucks have very low sound emissions and they are available with 9 litre gas engines rated at 280hp and 340hp, and with the wheel configurations of either 4x2, 6x2, 6x2*4 or 6x4 for both tractors and rigids. Making them suitable for applications like city and regional distribution, refuse collection, hook lifts, skip loaders, construction, and general cargo. Scania has made available three sizes of CNG tanks made of steel for its gas trucks for customers to choose between 80 litres, 95 litres and 118 litres which are always mounted in packs of four on each side of the chassis, and they are filled to a maximum pressure of 200 bar. With the 118 litre gas tanks, the truck can travel for more than 400 km, however refuelling is recommended after 350 km.
file.img.png
file.img.png
file.img.png
As a safety precaution, the gas tanks are equipped with two safety valves in the valve units: one is activated by temperature and the other by pressure, and the outlet of the temperature safety valves are directed downwards under the truck. Additionally, the truck is ADR certified with an insulated electrical system to avoid electric sparks, and with combined wheel nut indicators and dust caps. Safety is of utmost importance for our drivers and other road users, and the truck also comes equipped with the Scania Safety Package, comprising of Advanced Emergency Braking (AEB), Adaptive Cruise Control (ACC), Scania Lane Departure Warning (LDW), and Scania Alcolock.
For the transporter worried about the cost implication of switching to a CNG truck, the cost of running on CNG is cheaper despite the driveline being more expensive than a diesel engine. Our studies show that the cost per month can be reduced by 12% during the first 4 years when the vehicle is operating at 85 000 km per year, and the locally available natural gas is also 20% less expensive, and the price level is more stable compared to the imported diesel.
Natural gas will continue to play an important role in the transport system, especially with the continued development of infrastructure in Tanzania. “In parallel, Scania is working with partners and the government for the biogas alternative, which has a 90% CO2 emission reduction. Blending biogas into the existing gas is also possible, enabling a gradual shift from natural gas to biogas,” Johanna explains.
y tanzania not kenya??🤣🤣🤣🤣
 
Tatizo ni kuwa miaka yote hii serikali imekaa idle bila kufanya implementation yoyote ya urban planning hasa kwenye miji mikubwa. Mfano ni Mwanza. Mwanza ni mji wenye miinuko mingi na watu wanajenga majengo yao kiholela milimani ambapo naona ingekuwa heri kama serikali ingeilinda Hiyo milima isikaliwe na watu. Pia ni vigumu kwa makazi haya ya mlimani kufikiwa na huduma kama sewers, maji safi na umeme. Na Ndio Maana mvua ikinyesha watu wanafungua septic tanks zao mvua ichukue uchafu wote kwenda bondeni! Hasara ni ipi? Magonjwa kama Cholera, ambayo pia yanagharimu serikali pesa kuyatokomeza!

Mwanza
View attachment 2024676View attachment 2024677View attachment 2024678
haya makazi yana nafuu kuliko slum ya aina yoyote kutoka kenya tena hzo nyumba ni nzuri sana na zina maji na umeme na barabara zipo

mm nimetokea mwanza bro huna cha kueleza chochote hapo na ujue mwanza ni mkoa uliozungukwa na milima mingi sana

na hzo picha unazopost ww still ni za muda mrefu sana kwann usitafute hzi 😂👇👇






 
Back
Top Bottom