Hakuna haja ya mimi na wewe kukosana juu ya hili jambo. Kama unaona hatuwezi kudebate kiheshima wewe wacha mimi niendelee kudebate na joto la jiwe.Kama Samia kampinga Magu juwa kwamba kampinga Nyerere, Joto amekuelewesha vzr usiwe mgumu kuelewa na wewe mwishowe nitakuandikia sign chini kama ninavyowaandikia wenzio.
Weka picha ya nyuma ya hizi ghorofaNaiobi
![]()
Nyinyi uko kenya mawazo huru mliwai kuwa nayo lini?Sasa mwenzako Walker255 akisema ukweli mnasema kwamba anawapendelea Wakenya. Geza Ulole akiongea ukweli kuhusu Magufuli mnamkashifu. Watanzania wacheni ukondoo huu mnaoufanya huku. Tabia za kikondoo hizi za kufuatana hovyo na kukashifu mtu aliye na mawazo kinzani. Mimi huwa sina haja ya kusikilizana na Wakenya wengine wala Watanzania. Mawazo yangu ni mawazo yangu na siwezi kuyabadilisha ili kufurahisha umati. Ukitaka kubadilisha mawazo yangu basi nipe evidence na facts. Bila kunipa verifiable proof usitegemee kwamba nitabadilisha mawazo yangu ili kufurahisha umati ulioko huku. Geza Ulole na Walker255 endeleeni kuwa watu wenye mawazo huru. Continue being independent thinkers. Msiogope mtu yeyote hapa afterall hamjuani, hawakujui huwajui.
Nyoka yuko kila mahali dunianimbona mmesahau kumuweka snake ?
ingetokelezea poa sana
View from Nairobi National Park
![]()

Nashindwa kuelewa wanao shangilia wanashangilia nini?Mzazi anaenda kusoma na asiye mzazi !!wataongea nini! Ikiwa tu mwanafunzi malaya anaweza kuadhiri marafikinzake wote nao wakawa kama yeyeWacha porojo mingi, kupata Elimu au kutopata Elimu kwa raia wa nchi kunatokana na sera nzuri za Elimu za serikali/nchi husika, hatuzungumzi familia Moja Moja.
Tanzania Nyerere alilazimisha kwamba ni lazima kila mtoto kupata Elimu ya msingi(Primary Education), ili kufanikisha hilo aliifanya Elimu ya msingi kupatikana bure na ni lazima mzazi kumuandikisha mtoto wake shuleni, kushindwa kufanya hivyo lazima mzazi atashitakiwa na kutozwa faini.
Nyerere ndiye aliyeanzisha Sheria ya kukataza mtoto aliyepata mimba kuendelea na masomo (Formal education), badala yake akaanzisha mfumo wa "adult education" ambao utamuwezesha huyo mtoto kusoma hadi chuo Kikuu huku akiwa anaendelea na jukumu lake la kulea mtoto na akipenda kuolewa.
Ni mtu mpuuzi ambaye anaweza kupinga mfumo mzuri wa Nyerere ambao umempa nafasi huyo Binti kuendelea na masomo Kama mzazi wakati huo huo kupunguza athari za kisaikolojia ambazo zingeweza kusababishwa na yeye kwa wanafunzi wenzake au kwake kutoka kwa wanafunzi wenzake endapo angeendelea kusoma shule na darasa lile lile


( kuna msemo usemao ukitembea na mwizi nawew utakuwa mwizi) Soon tutambiwa na bangi imepita so wanafunzi wavute mpka shuleniMagufuli akuna sera aliyo anzisha zaidi ya kumempliment ya Mwalim nyerere...wacha uzuz rudi usome alicho andikHatuongei kuhusu Nyerere hapa. Tunaongea kuhusu Magufuli na sera zake mbovu zilizofanya world bank wakate mrija wa pesa waliokuwa wanawapa kwa ajili ya elimu. Usilete Nyerere kwenye mambo ya Magufuli.
Kama maamuzi ya Magufuli yalikuwa sawa mbona jana mama Suluhu ameyabadilisha?
![]()
Tanzania to allow students to attend school after giving birth
Government reverses controversial 2017 policy instituted by the country's late leader, John Magufuli.www.aljazeera.com


Mzee Coco reborn na bwana Nicxie tukiachana na Dom hii 👇old Dom CBD View attachment 2024394kuna Dodoma hii 👇new CBD underway View attachment 2024397View attachment 2024398View attachment 2024400kuna huu mradi wa makazi ya watu 1k houses View attachment 2024406View attachment 2024408
View attachment 2024410halafu kuna huu mradi wa watumishi housing mradi wa nyumba 120, na kama unavyojua individual development level ya Dom sio ya kupima mzee. 👇. lafu kuna upcoming Dom administrative city au wenyewe tunaita Magufuli City . Hayo majengo yote yanayoonekana kwenye renda hapo juu yapo under construction ..
1. Msalato international airport
2. DOM international football stadium
3. Dom indoor Arena
4. Dom international SGR terminus
5. State House
6. DOM outer ring road 112 km
7. Miradi mengine ya barabara ndani ya Dom kibao
Vyote hivyo vipi under construction .. sijui mtaleta mji gani kushindana na Dom ifikapo 2024 ni bakora tu ..