Justinr
JF-Expert Member
- May 22, 2020
- 3,709
- 6,832
Form 4, division 4, nikaenda kusomea ualimu wa cheti





apo mkuu ..inaonekana kama akili ni kbwa kuliko unavo jiaadressForm 4, division 4, nikaenda kusomea ualimu wa cheti





apo mkuu ..inaonekana kama akili ni kbwa kuliko unavo jiaadressLook at that cluster forming around Eka Hote/South C area along Southern BypassView from Nairobi National Park
![]()
Ichoboy akiona hivi huumia sana 😂 😂88 Nairobi is rising smoothly.
![]()
![]()
![]()
😂😂😂 Pole sana kijana .. this time around utakunya kwa chukiManeno mengi vipicha ni vile vile. Yani kitu Cha maana umenionyesha hapo ni Hilo vumbi kali😂😂 Mimi si hater nakupa fact Dodoma haifai kuitwa hata town Leo nashangaa yaitwa capital city💩💩
Unaleta hostel za campus, kweli Hali ni mbaya Dodoma 😂😂😂😂😂Ooh, Really you mean this DodomaView attachment 2023928
View attachment 2023929
View attachment 2023930
Wakunya watoto wa nama Ngina.Unaleta hostel za campus, kweli Hali ni mbaya Dodoma 😂😂😂😂😂
Maneno ya mkosaji mwenye hasira, pandeni ndegee bana🤣🤣🤣Hiyo inasaidia nini kupunguza njaa, slums, unemployment, ukabila na rushwa vinavyowasumbua?
Boss langata is better by far than all their top address.Vilaza wanaumia kweli. Hawajui hiyo Langata can easily qualify as one of their high-end neighbourhoods.
Unatamani iwe ivyo mwenyewe 😂😂😂 kujifariji tuBoss langata is better by far than all their top address.
sasa hao omba omba,ambao kiuhalisia ni maskini je nauli za kuja huko nairobi wanazitoa wapi?,Kwani umesikia utakuwa wa Kwanza kuwakana? Wengine walishawakana kitambo sana mbele yako. Mnapenda sana to live in denial







😂😂😂 Huyo ni tahira huyo, uwezo wa ku reason ni mdogo sana ..sasa hao omba omba,ambao kiuhalisia ni maskini je nauli za kuja huko nairobi wanazitoa wapi?,
na huwa wanatumia boda ipi kuingia huko?,
hauoni kuwa nyie mpo weak kiusalama?,kiasi cha kwamba omba omba wanaingia hovyo kulingana na mujibu wa data zenu za kimagumashi mnazosema kuwa omba omba wote waliopo nairobi wanatokea Tz,
hebu muwe mnajiongeza kidogo msiwe waropokaji for nothing,kama wanatokea Tz fukuzeni hao hawana vibali rasmi vya kuwepo hapo hata sheria inawabana,
dunia hii hakuna nchi inayoweza kukaa na omba omba ambaye hana citizen otherwise awe mkimbizi,
ila kwa mara ya kwanza kenya imekuwa nchi pekee duniani inayopokea omba omba kutoka Tanzania,
hizi joking mziache![]()
kabisaOya Coco reborn naskia leo uliiulizia Dege eco village Kigambonirenda hii hapa
. Halafu mradi ulifkia hapa, any time soon tutaumalizia, huu
. Umeona tunavyofwatisha renda eeh.?
Huu mradi ukiisha Mmmh Mtakua nnakua mnakuja Dar kutalii mana ni ulaya kmmae. Heb pata dozi kidogo hii ni vid ya miaka minne iliyopita mradi ulikua hiv
. Mradi uko na nyumba 7k huu mradi ukiisha sujui mtapost nini kushindanisha na DSM mana hayo ndio yatakua makazi ambayo huwezi kukutana nayo popote hapa EA
Ebu nitajie top address in dar, I want to see something.Unatamani iwe ivyo mwenyewe 😂😂😂 kujifariji tu
Kwani huzijui mdogo angu .?Ebu nitajie top address in dar, I want to see something.
Mtu anahitaji shilingi ngapi kama nauri Kutoka Sirari hadi Isebania Kenya? Tumia akili kidogo bongolala.sasa hao omba omba,ambao kiuhalisia ni maskini je nauli za kuja huko nairobi wanazitoa wapi?,
na huwa wanatumia boda ipi kuingia huko?,
hauoni kuwa nyie mpo weak kiusalama?,kiasi cha kwamba omba omba wanaingia hovyo kulingana na mujibu wa data zenu za kimagumashi mnazosema kuwa omba omba wote waliopo nairobi wanatokea Tz,
hebu muwe mnajiongeza kidogo msiwe waropokaji for nothing,kama wanatokea Tz fukuzeni hao hawana vibali rasmi vya kuwepo hapo hata sheria inawabana,
dunia hii hakuna nchi inayoweza kukaa na omba omba ambaye hana citizen otherwise awe mkimbizi,
ila kwa mara ya kwanza kenya imekuwa nchi pekee duniani inayopokea omba omba kutoka Tanzania,
hizi joking mziache![]()
😂😂😂 Unajielewa wewe.? yani mtu ni omba omba hiyo nauli atatoa wapi.? Residential permit atapata wapi.? Pesa ya kutengeneza passport atapata wapi.? Mbona una uwezo mdogo sana wa kufikiri .?Mtu anahitaji shilingi ngapi kama nauri Kutoka Sirari hadi Isebania Kenya? Tumia akili kidogo bongolala.
Unataka tuwafukuze? Hiyo si utu. Mtu ni kilema amekimbia umaskini nchini mwake aje kutafuta angalau sabuni nchini kwenu kisha tena umfukuze? Even God can't be happy with you if you do that. Tutazidi kuwapokea na kuwasaidia kadri ya uwezo wetu as we've always done
Masaki 😂 😂Ebu nitajie top address in dar, I want to see something.
kwani hao uliowaweka hawapo sehemu nyingine duniani?,Nyoka yuko kila mahali duniani
Dom commuter railway na brtMzee Coco reborn na bwana Nicxie tukiachana na Dom hiiold Dom CBD View attachment 2024394kuna Dodoma hii
new CBD underway View attachment 2024397View attachment 2024398View attachment 2024400kuna huu mradi wa makazi ya watu 1k houses View attachment 2024406View attachment 2024408
View attachment 2024410halafu kuna huu mradi wa watumishi housing mradi wa nyumba 120, na kama unavyojua individual development level ya Dom sio ya kupima mzee.. lafu kuna upcoming Dom administrative city au wenyewe tunaita Magufuli City . Hayo majengo yote yanayoonekana kwenye renda hapo juu yapo under construction ..
1. Msalato international airport
2. DOM international football stadium
3. Dom indoor Arena
4. Dom international SGR terminus
5. State House
6. DOM outer ring road 112 km
7. Miradi mengine ya barabara ndani ya Dom kibao
Vyote hivyo vipi under construction .. sijui mtaleta mji gani kushindana na Dom ifikapo 2024 ni bakora tu ..