chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,125
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐Wallahi hii mitungi wala co ya SGR hii.
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐Wallahi hii mitungi wala co ya SGR hii.
Inajengwa kilometers 10Unataka nikuletee groundbreaking ceremony? Will that change the fact that hiyo barabara inajengwa?
Likewise, majambazi yote katika jela zetu ni wakenyaThe point is, all beggars on our streets are Tanzanians. That's the most important point here

We unaijua tanga.? kumbe mtu mwenyewe miji unaiona google tu ๐๐๐๐, safiri fala wewe, kwahiyo kwaakili zako hapo hakuna lami au .? Miji yote ya Africa Iko na makazi ya hovyo na makazi mazuri, ila Tanga hata hayo makazi ya hovyo yana mpangilio .. by the way hakuna jiji hapa tz sijawahi kufika ..hiz picha nimepiga kwa mkono wangu View attachment 2024029View attachment 2024035View attachment 2024039View attachment 2024045View attachment 2024049View attachment 2024053View attachment 2024247
Tanga pia kuna recreational parks tano .. hizi ni mbili nilizopiga picha mimi mwenyewe ๐View attachment 2024215View attachment 2024216View attachment 2024219forodhani Park ๐View attachment 2024222View attachment 2024224View attachment 2024227View attachment 2024229we fala au we sio mtanzania.? Usipende kutoa comment sehemu ambazo wewe mwenyewe haujawahi kufika unaishia kuziona google tu, haya kama wewe ni mtanzania sema unatokea mji gani.? Coco reborn. Vipi una lipi la kusema.? .![]()
View attachment 2024248
View attachment 2024265

๐๐๐, Bro nimecheka sana kwahyo kumbe siku zote hizo hizo jamaa hata barabara za za kulinganisha county zao hawana.. sasa wanasema eti wanatuzid km za barabara za lami ๐๐๐ nakuuliza kimoyo moyo "kivipi.? ๐๐ Kumbe wao mpaka leo wanasafiri wiki nzima njianiNdio maana nikasema Africa tuna kazi nzito, cc tulifanya miaka 10 iliyopita wao wanafanya leo![]()
Sasa hivi KQ anaomba wawe partner na SAA maji ya shingoWanafurahia kifo cha KQ kimekaribia. Tuseme ukweli, hivi wewe ukivuka border ya Kenya kuingia Somalia unahisi vipi kuhusu usalama wako?, Basi ndio hivyo hivyo kwa mtanzania anavyohisi akifika Kenya.

Anhaa kwahyo hajui hata kama tz ilibadilishwa .. Bongo hii tunayoishi leo sio sawa na bongo ya miaka mitano iliyopita .?Umetishaa mzee jamaa hajui anaishii ulayaa huyoo
achana naye hajui kitu huyo ni zumbukukuDo you know planes..or unakuwa mnafiki
that A220 -300 seats 132 passengers
E190 zenu mnazoleta seats 96 .passengers..na ndo huwa mnazileta mostly....
Kuna baadhi ya miji mipya inaweza kuwa kama vile tena hasa mbezi malamba mawili,stendi ya magufuli imefanya viwanja kuwa juu mitaa ya mbezi,kibamba,kiluvya n.k,sasa kuna jamaa wananunua vile viwanja vya miguu 20-20,halafu baada ya wiki tu anauza miguu 10-10,hapo kama alinunua 20-20 kwa mln 8,yeye atauza 10-10 kwa mln 5,so anapata faida ya mln 2 ila ndio ule ujenzi wa manzese manzese flanHehehehee lile shuzi lililokuwepo pale kipawa ni Slum halisi![]()
mbona mmesahau kumuweka snake ?
huku hatutaki omba omba ,huwa tunawafukuza ,njoo dar ujifunzeMaisha yangekuwa mazuri Tanzania as you want to paint it hamgengukuwa na hao ombaomba in the first place. Na hata hata muwe nao mbona hujiulizi kwa nini wameacha 'asali na maziwa' Tanzania na kuja kutembeza bakuli Kenya?
kimenuka kilichobaki ni kuomba omba upartner tu ,mwisho wa siku watapagawa wataomba upartner na azam marine wakati hiyo sekta yao ni ya angaSasa hivi KQ anaomba wawe partner na SAA maji ya shingo![]()
Wanajenga 100 metersInajengwa kilometers 10
Kwani umesikia utakuwa wa Kwanza kuwakana? Wengine walishawakana kitambo sana mbele yako. Mnapenda sana to live in denialhuku hatutaki omba omba ,huwa tunawafukuza ,njoo dar ujifunze
ukiona omba omba ujue ni mlemavu tena wanzhesabika tena ni nadra sana kuwaona
halafu muache kujazana ujinga hao omba omba mnaosema ni watz ,hiyo nauli ya kuja huko si bora wangefanya biashara ya kuuza uza matunda na mboga mboga,
acheni porojo
Ombaomba inatokana na umaskini. Ndio maana hampendi kuona data Kama hiziLikewise, majambazi yote katika jela zetu ni wakenya![]()
Kama hio article moja ya Al Jazeera niliyopost bado haijakushawishi basi tazama hizi hapa.Wakenya ni watu wapuuzi Sana, mlikua mkimchukia Magufuli kwasababu alikua anawazidi na kuwabana katika kila Jambo.
Magufuli siye aliyeweka hiyo Sheria, hiyo ni Sheria ya Nyerere na hakuna rais hata mmoja aliyeitengua, Hawa wanaharakati walipoanzisha vuguvugu la kudai hiyo Sheria irekebishwe ili waruhusiwe, Magufuli alikataa na kusisitiza kamwe hawatoruhususiwa badala yake wataendelea kusoma katika mfumo huo aliouanzisha Nyerere.
Kama Samia Suluhu Hassan ameruhusu kweli(sijawa na uhakika), basi itakua ni sehemu ya madhahifu yake ya kiuongozi na ninauhakika Mambo Kama haya yatagharimu Sana uongozi wake, sio rahisi "kumchallenge" Julius Nyerere politically" na ukabaki salama katika siasa za Tanzania.
Bwana wa WB hii update taarifa zako .. now tupo huku ๐Ombaomba inatokana na umaskini. Ndio maana hampendi kuona data Kama hizi
View attachment 2024379