Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inakera sana, naona mitaani bado watu wanauziana viwanja kwa kukatiana, na hili ndio tatizo lenyewe, mipango miji wapo na hawachukui hatua.
Yaan hii issue inasilitisha sana. Something needs to be done and be done quick kabla hali haijawa mbaya zaidi. Ingawa wananchi wengine wanajaribu kutatua hili janga but more effort is needed
 
Inakera sana, naona mitaani bado watu wanauziana viwanja kwa kukatiana, na hili ndio tatizo lenyewe, mipango miji wapo na hawachukui hatua.
Kero sana kaka!!!Tunafanya michezo ya kwenda mbele kurudi nyuma siku Serikali ikitaka kufanya mradi wake fidia inakuwa kubwa kumbe wasingetakiwa kulipa hata kumi kama wangejipanga mapema na kufanya consideration!!!Leo hii fidia ni kubwa kweli kwny hii miradi mikubwa ya kimkakati ,miundo mbinu pamoja na maeneo kwa ajili ya kuweka social services!!!One of the big failure kwa serikali ya CCM.Kwa waliosoma uchumi watanielewa Market Failure VS Government Failure!!!Kuna mambo mengine serikali inabidi isimamie tu huwezi kuliachia soko lifanye kazi hiyo!!!
 
Yaan hii issue inasilitisha sana. Something needs to be done and be done quick kabla hali haijawa mbaya zaidi. Ingawa wananchi wengine wanajaribu kutatua hili janga but more effort is needed
Govt haiko serious, Watz wamejitahidi sana kujenga nyumba decent, lkn Govt kupitia office ya mipango miji inatuangusha, haipo serious kabisa.
 
Na Ukitaka kujua jambo hili linawezekana angalia pale kipawa kulikuwa na uswazi moja hatari lakini leo hakuna kuna TB3 na wananchi walitafutiwa eneo jingine wakapimiwa na kupewa fidia juu!!!.Na kuna miji mingine duniani huwa inakwisha kbs kwa majanga ya asili au vita ila inajengwa upya kbs!!!Tenga maeneo pima subsidized vifaa vya ujenzi kwny maeneo hayo!!!Pale ulipowatoa lazima pawe potential jenga vitega uchumi urudishe hela yako uza hata ardhi itakuwa na thamani kubwa kuliko hata mwanzo!!
Hehehehee lile shuzi lililokuwepo pale kipawa ni Slum halisi
 
Niseme tu kwa kifupi kwamba kama mamangu mzazi hangepata masomo na hamgesoma hadi college enzi zile za zamani ambapo wasichana hawakuwa wanasomeshwa sana hapa Kenya na yeye kupata kazi nzuri basi mimi nami singepata masomo ya hali ya juu. Pengine hata singemaliza chuo cha sekondari, sahau kabisa mimi kufika chuo kikuu na pia sasa naendelea na masomo zaidi ya hapo. Baba ni kweli alichangia ila alichangia kidogo sana kwenye masomo yangu. Hadi kumaliza kwangu kwa chuo kikuu na hata kupata nafasi za kuenda ulaya yote ilikuwa ni mchango wa mama. So watu wanaofikiria kwamba kusomesha watoto wa kike ni kupoteza hela au kupoteza muda basi hamjui mnachosema.
Wacha porojo mingi, kupata Elimu au kutopata Elimu kwa raia wa nchi kunatokana na sera nzuri za Elimu za serikali/nchi husika, hatuzungumzi familia Moja Moja.

Tanzania Nyerere alilazimisha kwamba ni lazima kila mtoto kupata Elimu ya msingi(Primary Education), ili kufanikisha hilo aliifanya Elimu ya msingi kupatikana bure na ni lazima mzazi kumuandikisha mtoto wake shuleni, kushindwa kufanya hivyo lazima mzazi atashitakiwa na kutozwa faini.

Nyerere ndiye aliyeanzisha Sheria ya kukataza mtoto aliyepata mimba kuendelea na masomo (Formal education), badala yake akaanzisha mfumo wa "adult education" ambao utamuwezesha huyo mtoto kusoma hadi chuo Kikuu huku akiwa anaendelea na jukumu lake la kulea mtoto na akipenda kuolewa.

Ni mtu mpuuzi ambaye anaweza kupinga mfumo mzuri wa Nyerere ambao umempa nafasi huyo Binti kuendelea na masomo Kama mzazi wakati huo huo kupunguza athari za kisaikolojia ambazo zingeweza kusababishwa na yeye kwa wanafunzi wenzake au kwake kutoka kwa wanafunzi wenzake endapo angeendelea kusoma shule na darasa lile lile
 
Hatuongei kuhusu Nyerere hapa. Tunaongea kuhusu Magufuli na sera zake mbovu zilizofanya world bank wakate mrija wa pesa waliokuwa wanawapa kwa ajili ya elimu. Usilete Nyerere kwenye mambo ya Magufuli.

Kama maamuzi ya Magufuli yalikuwa sawa mbona jana mama Suluhu ameyabadilisha?

Dangerous country wakati omba wao wamevamia mitaa zetu kama nzige
Sasa hushangai kwanini watanzania wenye pesa zao hawavamii Kenya badala yake ombaomba ndio wanaovamia huko?, Mitaa ya Nairobi imejaa watoto wa mitaani na homeless people, huku Tanzania ni nadra Sana kukutana na watoto wamezagaa mitaani. Kenya inavutia maisha ya Ombaomba wakati Tanzania tunavutia watalii na "investors".
 
Acha kujiliwaza. Dangerous country na CCM wanafurahi atcl kuja kenya nikama wamefika marekani tuu.
Wanafurahia kifo cha KQ kimekaribia. Tuseme ukweli, hivi wewe ukivuka border ya Kenya kuingia Somalia unahisi vipi kuhusu usalama wako?, Basi ndio hivyo hivyo kwa mtanzania anavyohisi akifika Kenya.
 
Wanafurahia kifo cha KQ kimekaribia. Tuseme ukweli, hivi wewe ukivuka border ya Kenya kuingia Somalia unahisi vipi kuhusu usalama wako?, Basi ndio hivyo hivyo kwa mtanzania anavyohisi akifika Kenya.
Hayo Wacha Watanzania waliofika Kenya waongee. Wee endelea na story zako za vijiweni.🚮🚮
 
waganda wasahau kujenga SGR kwenda Kenya
Mungu ibariki Tanzania .. SGR from Dar to Isaka to Kigali

"The loan agreement requires UCAA to set up an escrow account to hold all of the Authority’s revenues. The agreement provides that UCAA cannot use any of the accrued money for whatever expenditure without approval from Beijing."
 
Hatuongei kuhusu Nyerere hapa. Tunaongea kuhusu Magufuli na sera zake mbovu zilizofanya world bank wakate mrija wa pesa waliokuwa wanawapa kwa ajili ya elimu. Usilete Nyerere kwenye mambo ya Magufuli.

Kama maamuzi ya Magufuli yalikuwa sawa mbona jana mama Suluhu ameyabadilisha?

Wakenya ni watu wapuuzi Sana, mlikua mkimchukia Magufuli kwasababu alikua anawazidi na kuwabana katika kila Jambo.

Magufuli siye aliyeweka hiyo Sheria, hiyo ni Sheria ya Nyerere na hakuna rais hata mmoja aliyeitengua, Hawa wanaharakati walipoanzisha vuguvugu la kudai hiyo Sheria irekebishwe ili waruhusiwe, Magufuli alikataa na kusisitiza kamwe hawatoruhususiwa badala yake wataendelea kusoma katika mfumo huo aliouanzisha Nyerere.

Kama Samia Suluhu Hassan ameruhusu kweli(sijawa na uhakika), basi itakua ni sehemu ya madhahifu yake ya kiuongozi na ninauhakika Mambo Kama haya yatagharimu Sana uongozi wake, sio rahisi "kumchallenge" Julius Nyerere politically" na ukabaki salama katika siasa za Tanzania.
 
Wanafurahia kifo cha KQ kimekaribia. Tuseme ukweli, hivi wewe ukivuka border ya Kenya kuingia Somalia unahisi vipi kuhusu usalama wako?, Basi ndio hivyo hivyo kwa mtanzania anavyohisi akifika Kenya.
Mnafurahia ndege zenu kuja Somalia? Yani tanzania ndoo the only country inaexport beggars Wewe mjinga kweli. Lakini sishangai sababu role model wako ni magufuli.
 
View attachment 2023599
Hii si Ndio Tanga unayozungumzia? Hii Sio urban planning ninayozungumzia mimi. Urban planning Sio mpangilio wa makazi katika grids! Makazi haya Kwa kuyaangalia tu unaona ni duni! Hapa hata sewarage system sidhani kama ipo! Barabara zenyewe vumbi Tupu!

Inabidi tuwe honest. Kuficha uchafu uliipo ni Sawa na kuufanyia promotion undelee kuwepo. Tena nafurahi wakenya wanavyotubeza ili aibu tupate.
We unaijua tanga.? kumbe mtu mwenyewe miji unaiona google tu 😂😂😂😂, safiri fala wewe, kwahiyo kwaakili zako hapo hakuna lami au .? Miji yote ya Africa Iko na makazi ya hovyo na makazi mazuri, ila Tanga hata hayo makazi ya hovyo yana mpangilio .. by the way hakuna jiji hapa tz sijawahi kufika ..hiz picha nimepiga kwa mkono wangu
IMG_20210903_122506_589.jpg
IMG_20210903_121546_096.jpg
IMG_20210903_125351_494.jpg
IMG_20210903_125534_325.jpg
IMG_20210903_125822_728.jpg
IMG_20210903_122646_415.jpg
IMG_20210903_123124_047.jpg
3013728_IMG_20210903_122622_405.jpg
3013745_IMG_20210903_122942_772.jpg
Tanga pia kuna recreational parks tano .. hizi ni mbili nilizopiga picha mimi mwenyewe 👇
IMG_20210903_122322_963.jpg
IMG_20210903_122317_434.jpg
IMG_20210903_124951_240.jpg
forodhani Park 👇
IMG_20210903_123248_962.jpg
IMG_20210903_124134_573.jpg
IMG_20210903_123905_726.jpg
IMG_20210903_123312_363.jpg
we fala au we sio mtanzania.? Usipende kutoa comment sehemu ambazo wewe mwenyewe haujawahi kufika unaishia kuziona google tu, haya kama wewe ni mtanzania sema unatokea mji gani.? Coco reborn. Vipi una lipi la kusema.? .

IMG_20210903_122622_405.jpg

IMG_20210903_122942_772.jpg
 
Back
Top Bottom